Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

WACHEZAJI NA BENCHI LA UFUNDI LEO KILA MMOJA AMEPOKEA KIASI CHA TSH 10M ZA BONUS BAADA YA KUTINGA FAINALI YA KOMBE LA FA KIASI HIKO CHA 10M KILA MMOJA NI SAWA NA 380M KWA KIKOSI CHOTE CHA...
7 Reactions
34 Replies
40K Views
_ George Weah akitokea ligi ya Liberia,moja kwa moja hadi klabu ya Monaco,baadae kuelekea club ya Paris St Germain na kilele chake kilikuwa alipoelekea club ya Milani na kuwa Mfalme wa San...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
BAGAMOYO TOURS TAA TANZANIA ni taasisi isiyo ya kiserekali lilosajiliwa mwaka 2008 kwa no. 15995. Inakutangazia kuwa. Kutakuwa na trip ya kwenda bagamoyo siku ya jumamosi sikukuu ya 8*8 tarehe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Utashangaa sasa hivi Morrison ndo anaangushiwa jumba bovu na wanatoa povu sana juu yake. Mara wanasema wamelogwa na Simba!Sasa kama wamelogwa,kwa nini kugombana na mchezaji wao waliyembatiza jina...
6 Reactions
6 Replies
955 Views
Yanga Sc ya dar leo imeitandika Singida United kipigo cha kikatili na hasira kali cha bao 3-1 Katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa/Mkapa Dsm. Mchezo huo uliokuwa wa piga nikupige,mkali na...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kagame Cup ambayo inashirikisha mabingwa kutoka wanachama 12 wa Cecafa, ni moja ya shindano kongwe barani Afrika ambalo kwa muda mrefu limekuwa likidhaminiwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Dar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone, raia wa Msumbuji, ameonekana kuwa moto wa kuotea mbali, labda kuliko staa mwingine kwenye timu hiyo kwa sasa. Huyu ndiye alikuwa staa kwenye mchezo wa nusu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona kuna juhudi kubwa za wana Mikia kuona BM anatimuliwa Yanga ili waokote dodo. Ni kweli BM ni chizi kabisa, lakini Mikia na yeye mwenyewe wajue dili la kujiunga na Mikia watalisikia redioni...
7 Reactions
88 Replies
9K Views
Leo asubuhi akihojiwa na Wasafi FM kupitia Mtangazaji Yussuf Mkule Msemaji wa Yanga ya Mshindo Msolla aitwae Hassan Bumbuli kwa ' Majigambo ' kabisa alisema kuwa Yanga imepanga Kufanya ' Mauwaji...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza huyu mtu amenifanya nimkubali kwa 98%...ni fundi ....fundi..kweri kweri....kila apatapo mpira wewe subiria furaha kwa kile atakachofanya!....najiuliza huyu amekuja Yanga kweli...
19 Reactions
130 Replies
23K Views
Wiki iliyopita katika hapa na pale ulizuka mjadala katika chombo fulani cha habari za michezo kuhusiana na ubora wa timu hizi kati ya Rasen Ball Leipzig na Atalanta B.C ipi imekuwa na mwenendo...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Hizi ni taarifa nzuri kwa timu ya utopolo ni baada ya jana CAF kuziondoa timu za libya kwenye clab bingwa Africa na kombe la shirikisho kutokana na ligi hiyo kusimama kwa misimu miwili hivo ni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa ni rasmi msimu ujao Tanzania itarejea katika utaratibu wa kutoa timu mbili kwenye michuano ya CAF baada ya Yanga kushindwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu Nimekua nikisikia hili neno siku nyingi kwenye soka ok kiufupi Financial Fair Play ndio nini? Ina husika na nini? Uzi tayari👋👋
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MICHUANO YA KOMBE LA DUNIANI 2022 KUFANYIKA MWEZI NOVEMBA NA DESEMBA Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limeweka wazi kuwa michuano ya kombe la Dunia 2022 inayotarajiwa kichezwa nchini Qatar...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mabingwa wa soka Tanzania bara(VPL) msimu wa 2019/2020, pia wakiwa ni mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo ambao wamechukua ubingwa wa msimu huu kwa kuweka rekodi mpya ya kutawazwa ubingwa wakiwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau, Kitendo cha wachezaji wa yanga wakiongozwa na Lamine kumwambia kocha amtoe Morrison kibinadamu sio sawa. Hata ingekua ni mimi baada ya kutolewa kwa shinikizo la wachezaji wenzangu...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Game iliisha kwa kipigo kikali. Leo mji uko kimya huku Simba hata haturingi ni easy tu. BM33 akisepa katikati ya kipigo
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Nimepitia web ya Chelsea bei ya jezi tshrt pekee usd105 sawa na zaidi ya laki mbili za Tanzania wabongo tutavaa jezi feki tu
4 Reactions
6 Replies
984 Views
Back
Top Bottom