Mbwana Ally Samatta is a Tanzanian professional footballer who plays as a striker for English club Aston Villa and the Tanzania national team.
A 27 years old man is living his dreams by playing...
Ukiangalia msimamo wa EPL mwaka huu Kuna dalili nzuri ya ASTON VILLA kusalia ligi kuu.
Nafasi ya:-
16.Westham -37 pts
17.Aston Villa-34 pts
18.Watford-34 pts
19.Bournemouth-31 pts
20.Norwich-21...
Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndugu Paulo Makonda amejipachika uongozi wa Timu ya Taifa , haijafahamika malengo yake , bali kinachofahamika ni kwamba Mungu hataniwi , na kwa kadiri ninavyomfahamu...
Amani iwe nanyi wakuu,
Kulingana na usajili ulivyo msimu huu, natabiri hii ndiyo top-four yangu msimu huu.
Man city
Chelsea
Liverpool
Everton
LONDON BOY
Kwa mara ya kwanza katika historia tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu haitotolewa kwa sababu hakutokuwa na usawa kutokana na namna janga la virusi vya corona lilivyoathiri taratibu za uchezaji soka...
Wana jamvi nimekuwa nikifuatilia soka letu hapa bongo, na kuona ni wakati sasa BMT iitake TFF kuingiza kifungu cha Kudhibiti Mapato ya kutoka nje ya Club, kwa lugha nyingine ikiitwa Financial Fair...
Habari wadau,
Jana Yanga tumecheza na Singida. Nimeshangaa kuona wachezaji wametokea kambini kwenda uwanjani, badala ya kutokea nyumbani kwao ama makao makuu ya club.
Hata mechi na simba nayo...
Kocha huyo wa Manchester City amesema kuwa ni bora aende likizo ya kufundisha mpira kuliko kukubali kuifundisha Manchester United
> Guardiola alikuwa kwenye rada ya Manchester United kwa ajili ya...
Solskjaer hits back at Lampard's claims that VAR favours Manchester United
The Chelsea boss highlighted the number of calls that have gone in United's favour and Solskjaer has clapped back ahead...
Kwanini Yanga msiutoe huo Mkataba wadau tuuone? Uongozi Umekomaa kusema mkataba upo TFF, kwani nyie hamna huo Mkataba?
GSM ni Janja janja, kwa Mwendo huu hata ule mkataba na La Liga uchunguzwe.
Simba wametenga mil 200 kukamilisha usajili wa msimu mzima. Huku yanga wamemnunua mchezaji mmoja tu Mil 240. Alafu michuano ya ligi kuu itakapo anza bado Mashabiki wa Simba watasema YANGA...
Tuna taka muone kuwa tunawaangalia tu jinsi mnavyobebwa,ni mara nyingi sana mnabebwa hivi.
Kwa kiwango mnachobebwa kuanzia ile goal corner ,na magoli mengi tu dhidi yenu kukataliwa hadi mechi ya...
Mwana masumbwi wa uzito wa juu Duniani Larry Homes amesema wapiganaji wa sasa wa ngumi wasingetoka salama enzi wake akiwa ulingoni.
Homes amasema ni kweli kua hawa wana masumbwi wa uzito wa juu...
Msemaji wa timu kongwe kama Yanga hajui kanuni za mchezo ambao timu yake inashiriki.
Anasubiri Yanga ikutane na Simba ngao ya hisani eti Yanga ikiwa nafasi ya pili
Kanuni
Nimechungulia anga la SIMBA kuna ung'avu mkubwa na nyota nne zinawaka kuzunguka kichwa cha mnyama SIMBA akiwa kakanyaga zulia jekundu na kuzingirwa na mataa yanayomeremeta, mekundu. Kwa upande wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.