Leo Ni Leo Waweza Kusema Hivyo!
Pale Mida Ya 1;00 Usiku Katika Uwanja Wa Taifa, Timu Mbili Zenye Ushindani Mkubwa Zaidi Bongo Mnyama/ Wekundu Wa Msimbaz/ Wanalunyas/ Taifa Kubwa Timu Ambayo...
Wakuu heshima kwenu, ni dhahiri sasa kampuni ya michezo ya kubahatisha betika ilikuwa na tatizo LA kiufundi na wala si matapeli kama nilivyokuwa nikiwafikiria. Hii ni baada ya kufanikiwa kutoa...
SERIKALI imesema changamoto ya kupeana nafasi kwa mashabiki walioingia uwanjani katika mchezo wa Simba na Yanga inaashiria elimu zaidi inahitaji ili kuchukua tahadhari ya janga la maambukizi ya...
Wakuu Habari zenu?
Mechi ya kesho ya Man U vs Southampton iko wazi kabisa Manyumbu wanakufa pale OT 2(mbili) bila.
Mashabiki wa Manyumbu kwa akili zao wanajua watashinda hiyo mechi kwa ambao...
Sikumbuki ni lini nimewahi Kuleta UItabiri wangu hapa wa Kuihusu Mechi ya Simba na Yanga na 95% hadi 99.9999% usiwe sahihi kwani huwa nahakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu Mmoja kutoka Pemba na...
Kitendo cha mchezaji wa Yanga Bernad Morrison kutolewa nje kwa substitutions na yeye kuamua kutoka nje ya uwanja na hatimaye kuchukua bodoboda na kutokomea kusikojulikana. Tafsiri yake ni nini...
Hakuna shaka lawama hizi ziwaendee benchi la ufundi kwa ushenzi waliofanya kumchezesha huyu mhuni Morrison. Wale wanaomwelewa alichokifanya hata mwezi hana sidhan alistahili kuvaa jezi za yanga...
Habari wadau
Swali la kizushi.. je Morisson angeweza kumfanyia Mwinyi Zahera mambo anayowafanyia viongozi msimu huu.
Hapo ndipo nawaelewa watu wakali kama Zahera au Magufuli..
Ukali unasaidia...
Kuna tetesi kuwa beki kiraka wa simba shomari Kapombe ataanza mchezo wa leo dhidi ya yanga
Japo mwanzo ilionekana atakosa mechi zote zilizosalia msimu huu
Nimepita kwenye ukurasa wako wa insta nimeona umepost kijana mmoja kati ya watu wasiojielewa kabisa duniani akiwa amevaa jezi ya yanga huku akimpigia simu mtu aliyemtaja kama John.
Nimesikitishwa...
Wadau kama kawaida yetu Yanga, Simba huwa hawatusumbui
Wakichomoka pona pona yao ni sare bila ivyo wameumia sababu simba mwaka huu amekua dhaifu Sana mbele ya wananchi. Mimi Nampa yanga ushindi...
Nilikuwa mshabiki wa Yanga, Ingawa kipigo cha jana ni moja ya sababu lakini siku nyingi nimechoshwa na soka letu ambalo lina siasa siasa ndani yake..... Kwaheri yanga, Kwaheri Taifa stars...
Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivi punde.
Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na...
Habari ndiyo hiyo! Hatimaye Manchester City washinda rufaa yao kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao, lakini wamepigwa faini ya €10m
===
Manchester City's hopes of playing in next season's...
Huyu jamaa jana alionekana rasmi ni garasa lililochangamka.
Kwanza nafasi ambayo anacheza simba wanao wachezaji wengi wazuri hamna mtu wa kumuweka benchi, Simba iachane na huyo jamaa ituletee...
Habari wadau
Nina majonzi ya kufungwa na watani japo nilijua kwamba watani wana timu nzuri kuliko yetu.
Wachezaji wa yanga wamezingua sana leo hasa safu ya ulinzi..
Tukiacha yote nimependa...
Kwa tulichokifanya ' Kamati ya Roho Mbaya na Ufundi wa Kimila ' usiku wa Kuamkia leo ili Kulipiza Kisasi kwa Yanga SC tutakapocheza nao Kesho Jumapili tarehe 12 July, 2020 kama Yanga SC akishinda...
Kumradhi kidogo.. usije kuchanganya Steve Walsh yule mchezaji na Steve Walsh huyu Scout tunaemzungumzia hapa Leo, Walsh ni mtu asiyeimbwa sana nyuma ya mafanikio ya Chelsea na Leicester City yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.