Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huyu alituambia Shishimbe amesajiliwa tayari leo hii imeonekana kumbe hawakumsajili na wameshindwana.
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Swala la kocha Eymail Lina harufu ya figisu na mizengwe kwani CV ya Eymail haioneshi kuwa sifa anazodaiwa kufukuzwa nazo kazi Yanga. Kama angekuwa mbaguzi Yanga na GSM wangeigundua kabla ya kumpa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau, Nimesikiliza Audio ya kocha wa Yanga maneno aliyoyasema ni ya kweli tupu. Mimi ni mwanayanga ila sijasikia sehemu akitutukana. Viongozi wa Yanga wameibadilisha tafsiri ya maneno ya...
13 Reactions
54 Replies
7K Views
Habari wadau, Kutokana na janga la virusi vya korona lilivoathiri misimu ya michezo karibu dunia nzima lakini badae ligi baadhi ya ligi zakakamilika na nyingine kufutwa na nyingine zinaendelea na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Watoto wangu mmoja ni shabiki wa Simba na mwingine Yanga. Nimewasikia jana wanabishana kila mmoja akisifia timu yake. Katikati ya mabishano yao shabiki wa Simba akamwambia mwenzake "kabla ya nusu...
4 Reactions
6 Replies
689 Views
Hongereni TFF kwa kulishughulikia hili Tanzania hatutaki tabia za kibaguzi kwenye soccer letu.
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Yanga imetakiwa kumlipa Yikpe $9000 na kumlipa mshahara wa miezi 3 ili kuvunja mkataba
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka la nchini Afrika Kusini (SAFA) limemfutia jumla vibali vya kazi Luc Eymael aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga kufanya kazi ndani ya nchi hiyo. Imeeleza taarifa kupitia tovuti ya...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Nyota wa Klabu wa Yanga, Benard Morrison raia wa Ghana amesema kuanzia kesho yeye ni Mchezaji huru. Morrison ambaye juzi aliondoka huku mchezo dhidi ya Simba ukiendelea amedai kuwa mkataba wake...
4 Reactions
36 Replies
6K Views
Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu. Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball, ice hockey, mikutano na matamasha. Na ni...
1 Reactions
94 Replies
12K Views
Los Angeles: HBO's medieval saga "Game of Thrones" is known for serving up graphic deaths of its lead characters, but when fan favorite Jon Snow was killed off, avid followers speculated every...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mchezaji wa simba Clatous Chota Chama maarufu kama tripple C, jana alikubalii kushiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Manji nyumbani kwa tajiri huyo, pamoja na waalikwa wengine Manji pia...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Kiboko ya Nkana FC ya Zambia Kiboko ya AS Vita ya DR Congo Kiboko ya Yanga De Utopolo Mzee wa Faint movement Chota Chama Triple C amechaguliwa na mashabiki wa Simba, Yanga na wapenda soka...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Zahera alimkataa Mkwasa na Sasa Eymail anamkataa Mkwasa, tatizo Ni Zahera na eymael au tatizo Ni Mkwasa? Bado Nina Imani Zahera kuliko Eymael na Mkwasa
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Jumapili 26/7 ndio mwisho wa Ligi kuu ya Uingereza. Timu ya Samata, Aston Villa inahatari ya kushuka daraja ikiwa na point sawa na Watford zikiwa na point 24, ila Aston villa ina goli moja tu...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wana futiboli wenzangu Mimi ni Simba damu ila naona umuhimu wa leo Yanga kushinda ili akachukue hili kombe akawakilishe kimataifa mnajua kwanini. Simba tayari kashakata tiketi ya kucheza...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Sancho peke yake ka win penati 10 huko Bundesliga hadi sasa idadi kubwa kuliko mchezaji yoyote kwenye ligi 5 kubwa barani Ulaya. Manchester United tumetunukiwa penati 14 msimu huu EPL, pia hiyo...
2 Reactions
2 Replies
901 Views
Inawezekana kabisa asilimia zaidi ya 90 ya Watanzania tunaishi kutokana na wazazi wetu walivyotaka tuwe, yaani mzazi amehusika sana kukufanya uishi hivyo unavyoishi. Yamkini wazazi walitaka uwe...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
mchakato wa klabu ya simba kuendeshwa kupitia umiliki wa hisa unaelekea ukingoni. na mwanahisa aliyekuwa akipewa nafasi kubwa ya kumiliki hisa zaidi ya 50% alipata pingamizi kutoka serikalini na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hii haivumiliki na GENTAMYCINE nasema tena kuwa hii haivumiliki na namuomba Waziri wa Michezo aamuru Jeshi la Polisi nchini Tanzania chini yake IGP upesi sana wamsake (wamtafute) popote pale alipo...
9 Reactions
88 Replies
9K Views
Back
Top Bottom