WACHEZAJI WA TANZANIA MNA MENGI YA KUJIFUNZA KUTOKA KWA NGASA.
Na Abbas Jiriwa
Linapotajwa jina la Mrisho Khalfan Ngasa lazima liguse wadau wanaopenda mpira wa miguu. Kwani ni jina ambalo...
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania(TFF), imemfungia miaka miwili na faini ya sh 8 milioni kocha wa Yanga, Luc Eymael.
Eymael ametiwa hatiani kwa makosa mawili ikiwemo ubaguzi na...
WanaJF,
Leo kuanzia saa moja usiku nchi itazizima kwa kufanyika tukio kubwa la kihistoria hapa nchini wakati mabingwa kwa kihistoria nchini, Yanga na kampuni ya Laliga ya Spain watakapokuwa...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la ushabiki katika mchezo huu pendwa katika Tanzania na kupelelekea kusajiliwa kwa wachezaji wengi kutoka nje. Hii imesababishwa kwa kukuwa kwa nguvu za kiuchumi na...
Wachezaji au maafisa wa mechi watakaokohoa kwa makusudi wanaweza kupewa kadi nyekundu, Bodi ya Kimataifa ya Mashirikisho ya Soka Duniani (IFAB) imetahadharisha.
Ifab, yenye maskani yake Zurich...
Mwaka juzi na jana walifanya hivi hivi,yaani hawa majamaa ni utopolo original ,wanawaacha wachezaji 16 na kusajili wengine halafu mpaka wazoeane msimu umeshaisha then waje kusingizia simba...
Leo ndio leo, Fainali ya Azam Sports Federation kati ya Simba Vs Namungo, mechi itakayopigwa uwanja wa Nelson Mandela pale Sumbawanga, Rukwa.
Kama kawaida yetu, tupia utabiri wako nani anashinda...
Nawakumbusha tu, msijisahau leo mnapowashabikia Namungo huko Nelson Mandela Swanga.
Kuwa kwenye kufungua msimu tunapiga gongowazi aka utopolo aka manyani fc goli nyngine za kutosha.
Labda TFF...
Aliyekuwa kocha wa Yanga ametimuliwa kwa kutamka maneno yanayoaminika ni ya kibaguzi kwa mashabiki kwa kuwafananisha washabiki na nyani na mbwa kubweka bweka hovyo.
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar...
Tujuzane wakuu
1. Kuhusu kutoa na kuweka malipo
2. Kuduma kwa wateja
3. Masoko
4. Kiwango cha chini na cha juu cha stake na malipo
5. Mitandao ya simu inayoruhusiwa kwa ajilli ya miamala n.k, n.k
Timu ya Ihefu ya Mbarari Mbeya imepanda daraja baada ya kufungwa bado NNE kwa mbili Mjini Mwanza, ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza Ihefu iliifunga Mbao FC bado mbili bila majibu, hivyo Ihefu...
Kiufupi mimi ni mfuatiliaji wa ligi mbalimbali tofauti na wadau wengi ambao kwao EPL ndio ligi. Na huwa wanazi-refer hizi ligi nyingine kama ligi za wakulima na hazina ushindani na...
Kutokana na Usajili wanaoufanya sasa ambao 'Kitaalam' na 'Kiufundi' ni wa Kipumbavu (Kipopma) ukiachilia mbali ni wa Kimasikini pia, Mabingwa wa Kutochukua Kikombe chochote ndani ya Miaka Mitatu...
Bravo,Congrats ARSENAL for a well deserved and needed win -FA CUP. We,FANS and supporters kept Faith in you...going forward let's aim at much bigger things. WE CAN... !!!
paulkagame
Wadau wa michezo, msimu unaelekea mwisho hivyo inatoa nafasi kwa dirisha la usajili kufunguliwa. Kwenye usajili mara nyingi ni lazima uondoe mtu ili ulete mtu, kwa kuanzia leo na klabu ya Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.