Klabu ya Leeds United inatajwa kuwa na uhasimu mkubwa na vilabu vya Jiji la London vikiongozwa na Chelsea FC
Leeds United wamefanikiwa kurejea EPL baada ya kuinyuka 1-0 dhidi ya Barnsley...
Kusajili kwa mhemko bila kocha itafanya baadae muanze kulilia huruma ya marefa.
Maana tabia yenu kuwafanya waamuzi wasijiamini ili mfiche udhaifu wenu.
Sasa tunawaambia wazi kwamba hili...
Hii inanishangaza sana,
Maana ninachojua Mwalimu ndo huwa anapendekeza aina gani ya mchezaji asajiliwe kutokana na falsafa yake na aina ya mpira anaofundisha, sasa hawa Yanga wanasajili vipi...
Wakuu,
Naomba mnijuze ni Kwanini mashindano ya mbio za magari ya Formula one huwa yanaitwa ''Langalanga''
Hili neno langalanga ni la Lugha gani au linahusiana vipi na hayo mashindano?
Asante.
TFF naomba mbadili uwanja wa kuchezea fainali ya FA ili kuwe na fainali bora na sio bora fainali. Mpaka sasa hivi eneo la kuchezea nyasi bado hazijaota vizuri (kwa mujibu wa picha kupitia Tv)...
Habari wakuu!
Pole kwa Mashabiki wa Chelsea lakini hongera kwetu sisi tuliombetia Arsenal. Mimi nimepiga 631000 kwa kumpa Arsenal qualify. Nimeweka 300000 nikapata Faida 331000 raha iliyoje
Timu kushuka sio kigezo cha kusema wachezaji wote ni wabovu, ndio wabovu wapi lakini hata wenye uwezo wapo, maana wahenga waliwahi kutuambia "kidole kimoja hakivunji chawa".
Leo tutaje wachezaji...
Yapo mengi mnafanya vizuri lakini hili ni moja ya Makosa mmefanya
Mmepeleka Fainal ya FA Sumbawanga
Sio Jambo baya lakini Mlitafakari kwa kina au mlikurupuka?
Kweli Uwanja kama huu niwakuchezea...
Hongera Ihefu kupanda ligi kuu Kwa kumtoa Mbao kwenye play off Kwa faida ya goli la ugenini na Mbeya city kumtoa Geita FC.
Mkoa wa Mbeya Sasa timu 3 msimu ujao.
Kizazi cha Smartphone
A student failed his French exam by a single mark after he named Cristiano Ronaldo alongside a picture of a goat.
Ahmed Nabil, 15, was presented with a variety of different...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu, Ligi daraja la Kwanza , Ligi daraja la Pili pamoja na Ligi ya Wanawake limefunguliwa leo
Kwa mujibu wa taarifa...
Waendesha mashtaka nchini Paraguay wanatarajia kuhitimisha uchunguzi wa kesi ya Ronaldinho baada ya kukamatwa miezi 4 iliyopita na hati bandia ya kusafiria ya nchi hiyo.
Waendesha mashtaka...
Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya...
Klabu ya Aston Villa imemfuta kazi mkurugenzi wake wa michezo , Jesus Garcia Pitarch baada ya kukosoa sera za usajili za klabu hiyo.
Mshambuliaji wa klabu ya AstoNVilla, Mbwana Samatta...
Nazani huu ndo mwanya wa kumalizana na Morrison bila gharama ya kuvunja mkataba.Kwani kama ni kweli jamaa kakutwa akila green leaf au cha Arusha ukipenda, basi hii ndo fimbo ya kummaliza.Sheria za...
Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini.
Hivi viongozi wanajua shida tunayopata mashabiki, hebu Msolwa na wenzake watupishe kidogo. Hivi...
Baada ya kumfuta kazi Mkurungezi wa Michezo wa zamani Jesus Garcia Pitarch.... kutokana na kutofanya vizuri katika ligi.... na kushindwa kusajiri wachezaji wa wiwango bora....Timu ya Aston Villa...
Timu anayochezea Mtanzania Mbwana Sammata, imetoka sare na timu ya Westham united na kubaki ligi kuu ya England kwa kukusanya jumla ya point 35.
Samatta hakuwa na msimu mzuri na timu yake kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.