Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Morrison ndo alibaki kuwa nembo yetu Jangwani. Tuliaminishwa kuwa amesinya. Kama ambavyo tuliaminishwa Tshishimbi amesinya kumbe bado 😭😭😭😭 Inauma sana kila nikifikiria huwaga ninalia. Inauma sana...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Kocha Luc Eymael kuna jambo lilimfanya atuone sisi ni kama Manyani au Mbwa. Aliona tunapiga kelele tu na hatuna elimu, yaani ni vilaza. Nmeshangaa tunaposhangilia team karibia yote kupigwa chini...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
BENARD MORRISON KUMALIZA 'MASINEMA' YAKE NA YANGA Shirikisho la kabumbu nchini Tanzania (TFF) limesema hukumu ya madai ya kughushi saini ya mchezaji Bernard Morrison itatolewa Agosti 10 baada ya...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Tukusanyikeni hapa kupata updates za tuzo mbalimbali kwa wanamichezo walioshiriki VPL msimu 2019-2020 nikiwarushia matangazo moja kwa moja toka ukumbini. Kwa kweli ukumbi umependeza sana. Ingawa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Saa 8;00 mchana club ya simba inaanza utambulisho wa wachezaji wao wapya watakao tumika msimu ujao Unadhani watanza na nani? Je ni jack shonga au makusu?
0 Reactions
5 Replies
906 Views
Habari zenu vitasa wa jangwani, Wachezaji wengi wa Afrika hamuelewi suala la contract extension na new player registration,,,ni mazoea tuu huku Afrika kwamba wachezaji wanacheza mpka mkataba...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Iker Casillas returns to Real Madrid The legendary goalkeeper is ready to call time on his playing career and is preparing himself to step into his first position away from the pitch. Casillas...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mshambuliaji gwiji huyu amefunguka maneno haya wakati akimshauri kijana Coutinho juu ya uhamisho wake kwenda pale Barcelona. Ronaldo amefunguka na kusema Barcelona hawana upendo na wachezaji wa...
2 Reactions
73 Replies
12K Views
Habari wadau.. Katika simba nani mkali kuliko wote kwa kikosi cha mwaka huu Na yanga ni nani. Upande wangu simba wananichanganya maana mpira mkubwa nawaona wengi sana sijui nani bora kuliko...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Azam FC ni miongoni mwa timu zilizotegemewa kuja kufanya mabadiliko makubwa ya soka la nchi yetu kutokana na namna ilivyoanza kiuwekezaji. Lakini kila miaka inavyozidi kwenda ndiyo unagundua kuwa...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
WAKUU ZIFUATAZO NI TAKWIM ZA WANASOKA WALOFANYA VIZURI LIGI 5 ULAYA: LEAGUE1 most goal: mbappe most assist: di maria most dribble: neymar SERIA A most goal: ciro immobile most assist: papu...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Mojawapo ya eneo ambalo binafsi lina nipa mashaka kwa timu ya Simba ni ulinzi wa kati Ni kweli ulio wazi kuwa Wawa na Nyoni ni mabeki wazuri .Changamoto kubwa iliyopo ni umri wao. Hawa wanahitaji...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba (CEO), Senzo Mazingiza amethibitisha kupokea ripoti ya kocha Sven Vanderbroeck kuhusu Usajili wa msimu ujao Katika ripoti hiyo Kocha Sven anataka wachezaji 5 wa...
7 Reactions
156 Replies
22K Views
Niwazi ligi ya uingereza ni mziki mnene na maji marefu Kwa mtanzania mwenzetu Mbwana samatta maana Hadi sasa Kwa kiwango anachoendelea kuonyesha pale villa park Hana tofauti na mchezaji kutoka...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Wale wote wanaocheza Martial Arts Tanzania hapa njooni tubadilishane ujuzi kuanzia wale wa Japanese Shotokan (JAPAN) Aikido (JAPAN) Kick Boxing Tae Kwo ndo (KOREA) Muay Thai...
3 Reactions
88 Replies
20K Views
Hii iwafikie viongozi wote wa club pendwa ya Simba sports club. Hii sio sawa hii sio sawa kabisaa kwa hadhi ya club ya Simba Mimi ni shabiki tena kindaki wa hii timu. Mara ya mwisho mimi nilikodi...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Kwa sisi washabiki wa zama hizo tuliowaona Sunday Manara na King Kibaden wakicheza, haikuwa jambo rahisi kwa mchezaji kuhama Yanga kwenda Simba au Simba kwenda Yanga. Wachezaji walijiunga na...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hii ndio orodha iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, waliokatwa na wanaobaki washajulikana! Je uongozi umepatia au umepuyanga?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
1. Mshamu Hassani Mfuganjiwa Sibuka FM 2. Hassani Mvula Ufm 3. Oscar Ulasa TBC FM 4. Master Tindwa Choicefm 5. Amri Masale Radio One 6. Van Msumi Kiss FM 7. David Pasco AboodFm 8. Issa Ndokije...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Za chini chini zinasema kuwa aliekuwa kocha wa Simba, Bwana Patrick Ausems yupo katika mazungumzo na Dar Es Salaam Young Africans kwa ajili ya kui-coach timu hiyo inayopendwa sana katika ukanda...
6 Reactions
72 Replies
7K Views
Back
Top Bottom