Wakuu,
Tatizo sio Senzo kuondoka bali ramani za vita. How mkataba wa Senzo haukuwa na kipengele cha kuzuia kujiunga na wapinzani wa Simba walau 3 years baada ya kuondoka?
CEOs huwa wanabanwa na...
Hatimae wale wadau wa Canal Sport, kilio chenu kimesikika sasa ligi ya Serie A itaanza kuonekana katika king'amuzi cha Canal Sport kwanzia mwezi huu wa 8 tarehe 24.
Kupitia Canal Sport sasa...
SAFARI ya kutoka Tabata, Mwananchi, hadi kufika maeneo ya Mbagala Rangi Tatu, ilichukua jumla ya saa mbili, hii ni kutokana na foleni za hapa na pale, nafanikiwa kufika mahali ninapoishi huku...
Habari wana Jf,
Ukitizama sakata la mgogoro wa usajili wa mchezaji Bernard Morrison na sakata la mkurugenzi wa simba kuhamia yanga utagundua hio sio vita ndogo.
Vita hii ni ya kusimamisha brand...
BAADA YA KUKABIDHIWA MAJALADA YOTE YA KESI YA MORRISON
UONGOZI WA YANGA KESHO UMEITWA NA TFF KUJADILI SWALA LA MORRISON
NA BILA KUPEPESA MACHOO WAMEMTEUA NDUGU SENZO KUWA MSEMAJI WA KESI ILE...
MAMBO NA VIJAMBO VYA WACHEZAJI WA YANGA
Kuna mambo mengi sana yanayoendelea ndani ya Club ya Yanga sasa ila yanachukuliwa juu juu tu au kuelezwa sio kwa ufasaha.
Moja Leo Eng. Hersi ameongea na...
Waziri mwenye dhamana ya michezo Dkt.Harison Mwakyembe ametangaza uamuzi wa Serikali kuendelea kuruhusu idadi ya wachezaji 10 wakigeni.
Kadhalika idadi ya wachezaji wanaotakiwa kuanza kucheza...
Kwa vyovyote vile Morrison ni mchezaji tu wa timu asiye na nidhamu na kazi yake, lakini Senzo ni taasisi.
Senzo ana Mambo yote ya club ya Simba mabaya na mazuri kifuani mwake, ambayo sasa ni...
Naomba nisaidieni hii kisheria za mpira inakuaje, Dirisha dogo la usajili Ligi kuu Tanzania bara liliisha tarehe 15 Jan 2020, lakini Morrison aliingia nchini 17 Jan 2020.
Kwa tarh hiyo inamaana...
Kwa msiojua tu kijana amesajili miezi else kama ataendelea ama lah
Kwa msiojua tu kijana atakuwa akilipwa dola 9500 na sio 10" 000 wanavyosema
Akiongezewa na gari na sehwmu ya kuishi sijajua...
Simba ni klabu kubwa na yenye heshima kubwa nchini na Afrika kwa ujumla, ni timu yenye historia iliyosheheni mambo mema katika nyanja ya burudani.
Lakini mbali ya ukubwa huo wa jina, bado Simba...
Kuna clip inatembea ikimuonyesha mchezaji Bernard Morrison akiwashukuru Hans Pope na Crescent Magori kwa kukamilisha usajili wake uku akiwa amevaa jezi ya Simba.
Kwa inavyoonyesha usajili huu sio...
Chimbuko la mpira wa miguu ulianzia nchini China takribani miaka 2000 iliyopita
Ma monk na mashaolini ndio walianza kuchezea mawe mfano wa mpira katika mazoezi. Na hapo baadae ukaanza kupata...
Nilichogundua mpira wetu wakitanzania unachezwa zaidi kwenye mitandao, vijiweni, mezani na fitna nyingi sana kuliko hata wanjani, mpira umegeuka uadui mkubwa sana baina ya pande hizi huyu...
Tuna wasomi wengi sana nchini ila ni ajabu sana kuona Senzo anagombaniwa kiasi hiki. Wale mnaosema ajira hakuna, mnazungumziaje Timu kugombania mtu mmoja tena kutoka South Africa?
Timu ngapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.