Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Taarifa nilizozipata kutoka katika Chanzo changu 'Nyeti' zinasema kwamba kilichogundulika juu ya Sakata zima la Mchezaji Bernard Morrison ni kwamba Klabu ya Yanga 'imedanganya' kuhusu 'Mkataba'...
21 Reactions
153 Replies
23K Views
Wakuu Habari zenu? Hilo sakata la Morrison kusajiriwa na simba huku yanga wakidai ni mchezaji wao bado linachukua siku tatu kwenye kutolea maamuzi,Inatoa picha ya mambo mengi sana kwenye soka...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kitendo cha Kumchukua Morrison kimetuvuruga sana. Maumivu yake bado mabichi kabisa. Simba mngechukua hata nzima lakini siyo Morrison. Sasa leo hii tunalipiza. Hatutawaacha salama. Tunalipiza...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimefuatilia kwa siku kadhaa sasa kuhusiana na sinema inayoendelea kati ya Ramadhani Singano 'Messi' na klabu yake Simba. Japo sijajua nani ni mkweli na nani mwongo, lkn ninapotafakari...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
SIKU mbili baada ya Simba kudai imemsomesha mshambuliaji wake, Ramadhan Singano Messi, walimu wa shule aliyosoma ya Al-Farouq Islamic Seminary wameibuka na kukanusha madai hayo. Mtandao huu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hivi kweli hii inshu ni ya kujadiliwa siku 3?
5 Reactions
71 Replies
8K Views
Wakati lile movie likiendelea huko Karume leo wananchi wametangaza ingizo jipya, ni Farid Mussa aliyekua akikipiga huko mbele. === Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili winga wa zamani wa Azam FC...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Naomba kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa mtizamo wangu juu ya hili swala Morrison linaloendelea kuleta sintofahamu nchini. Nikiri kuwa sina taarifa zote za ndani badala yake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo hii wamefoji barua inayosomeka kuwa imeandikwa na mchezaji wa Azam FC Abubakar Salum 'sureboy' na kuiwasilisha katika uongozi wa Azam FC, ambapo lengo la barua hiyo ni kuishawishi uongozi wa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Maelezo ya picha: Refa akionesha kadi nyekundu Refa mmoja amepigwa ngumi usoni katika mechi ya kandanda ya kirafiki baada ya kumpatia kadi nyekundu mchezaji wa klabu ya Sporting de Mundial mjini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kawaida kama kuna tatizo lolote lililofanywa na yanga,hutaona kabisa kwenye uchambuzi wa suala kama hilo kwenye page zao ama vipindi vyao. Sana sana utasikia lawama za jumla jumla tu ooh hizi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mpira wetu ni semi- professional, yaani bado ni vuluvulu. Kumzuia mchezaji anayetaka kuondoka hakuisaidii club wala mchezaji. Kama akicheza chini ya kiwango kwenye club yako majibu utakuwa nayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili jambo limekuwaa kituko Binàfsii hii KAMATI ya maadili yote ya kuvunja baadaa ya Kutoa matokroo Uwezii ukakaaa sikutatuu mnajadili Makaratasi huu utovu wa nidhamu Na kama WAHUSIKA wanamisi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hapoo mtaokoaa majangaa MENGI yasjyoo na msingj kama ya Morrison Ahsanteni kama mmeliona hili. Nashauri wakimalizama ya Morrison arudishwe Kwaoo akajifunze adabu na itakuwa MF kwa watakaokuja...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Bila kujali elimu zao, nafasi zao kama waziri', muhandisi, kamishna, mkurugenzi au mwandishi wa habari wote level yao ya uelewa inakuwa chini ya STD 7!! Imagine mwandishi eti anahoji mbona...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Aliyekuwa kocha wa Zamani wa Yanga Mwinyi Zahera ametangazwa na team ya Gwambina fc kuwa mkurugenzi mkuu wa ufundi wa team hiyo. Gwambina inakuwa team ya kwanza Tanzania kuwa na cheo Cha...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Ilikua mwanzoni mwa mwezi wa sita mwaka 2012, Tanzania ilipo simama kwa siku kadhaa juu ya sakata la beki kisiki Kelvin Patrick Yondani kutoka Simba Sc na kujiunga Yanga. Ilikua habari ndefu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukweli unaouma Simba na Yanga zinatumia muda na nguvu nyingi sana kufikiri na kufanya mambo ili kuumizana wao kwa wao; badala ya jinsi ya kufanikiwa kimataifa Kila hatua, kila kitu wanafanya...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
Nisipoteze muda twendeni GSB wameanzisha jackpot Mpya mechi ukula laki 5 Hakuna maelezo mengine kama zilivyo jackpots zinging jana nikacheza mikeka 2 yote imetiki naangalia balance ktk account...
6 Reactions
44 Replies
7K Views
Hili Sakata la Morrison natamani sana Tena sana yeyote iwe Simba au Yanga atakaekutwa na hatia achukuliwa hatua kali sana. Yaani kama Yanga imeghushi saini ya Morrison inatakiwa ichukuliwe hatua...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom