Miezi kama si Miwili hivi nyuma nakumbuka kupitia Redio hiyo hiyo ya Wasafi FM ( japo Video yake ipo na ilienea pia ) Mmoja wa Mwana Yanga SC anayejifanya ana Hela na anataka Kushindana na Mo...
Team Messi Vs Team Ronaldo tumalize ubishi hapa who's the G.O.A.T lets go by statistics...
Ronaldo timu yake haipo tena UEFA Ila Messi kabakia...
Je Messi ataweza kuikoa Barcelona dhidi ya...
Kutoka UK mpaka Kwa MAFARAO
Klabu ya Pyramids ya nchini Misri inatarajia kumsajili nahodha wa timu ya taifa ya Misri, chini ya miaka 23, Ramadan Sobsi kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka...
Assalam alaikum!
Bwana Yesu Asifiwe!
To Yesu Kristo!
Nina mshukuru Mungu kwa kunipa Pumzi ya uhai na nafasi ya kuandika ushauri wangu, kwa Taifa langu pendwa Tanzania!
Nakupenda sana Tanzania...
Barcelona have been offered the chance to sign Cristiano Ronaldo from Juventus
Cristiano Ronaldo's time with Juventus could be coming to an end this summer.
According to Spanish football expert...
Maoni ya Pep Guardiola juu ya Cristiano Ronaldo kushinda taji la EPL, La Liga na serie A:
"Hakuna cha kushangaza juu ya hilo, Danilo alishinda EPL na sisi (Manchester), Kashinda la liga na Madrid...
Kwanza kabisa mimi ni mshabiki wa Simba nakiri hili lakini hapa sitachambua kama mshabiki wa Simba bali Kama mshabiki wa Soka.Kwa Hili sakata linaloendelea naona kabisa BM hatachomoka kwenye Hili...
Tukio la Simba kumchukua Morrison kimafia ni tukio ambalo litanichukua miaka mingi kufutika. Nimeumia kuliko ambavyo ningeumia kama ngeibiwa ng'ombe zangu.
Sasa Yanga tunaanza maandalizi ya...
Shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Chipogolo- Mpwapwa.
Mwanachama Maarufu wa Yanga ,Ally Yanga amefariki muda huu kwa ajali ya gari alikuwa katika Mbio...
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kuanzia kesho Ijumaa, Agosti 14 utaanza kutambulisha wachezaji wapya ambao umemalizana nao kwa ajili ya msimu wa 2020/21 pamoja na kutambulisha uzi mpya...
Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito
Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga...
Juzi na jana nimesikia Yanga na GSM wako ktk hatua za mwisho kumtambulisha kocha msaidizi. Ni hatua nzuri kuelekea maboresho ya benchi la ufundi. Lakini umakini mkubwa unatakiwa ili yasitokee tena...
Kuna wakati inabidi tuachane na ushabiki wa wa hizi timu za kariakoo na kukosoa bila ushabiki
Kinachoendelea ni ushamba Na hakipaswi kabisa kushabikiwa.
Simba kujaribu kumchukua Morrison ni...
Wapendwa tunaopenda mpira hivi hii hali ya Messi na Ronaldo siku wakachezea timu moja inakuaje hapo?
Wote kuutafuta ubingwa wa mchezaji bora au mfungaji bora katika timu moja?
Watashindana kama...
Yanga wametolewa kafara kukwepa aibu na uozo wa TFF na kamati yake.
Mwanasheria wa yanga kasema mkataba una ingredients zote muhimu za contract, una consent, capacity to contract una kitu muhimu...
Wachezaji wa Yanga wanatakiwa wahakikishe mikataba yao kama ina mapungufu au la. Timu imevamiwa na matapeli na wahuni wazee wa wape salamu.
Wamekuwa matapeli kabisa ,tshishimbi walisema amesaini...
UTANGULIZI
Kama hujaelewa au huelewi maana ya neno la Kiswahili la 'yanahisiwa' tafadhali mtafute Mtu akueleweshe kuliko 'Kuukurupukia' huu Uzi tafadhali.
UDUKUZI ULIOFANYIKA
Baada ya Sakata zima...
A Barcelona player has tested positive for the novel coronavirus after reporting back for pre-season training, the La Liga side said in a statement on Wednesday.
Barca said the player was...
Wakuu kwema?
Niende kwenye mada, mfumo wa uendeshaji wa timu uko katika Katiba ya timu husika ambayo mostly probably hupitishwa na wanachama wa timu husika.
Mtendaji mkuu wa Simba huteuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.