Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari Wakuu Naomba kama kuna mtu humu ambae anaweza kuwa na connection na viongozi wa Simba awaambie wasithubutu kumpa jezi no9 mshambuliaji mpya Chris Mugalu kwani ina gundu na ataflop wote...
3 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakulungwa tumeshuhudia leo Manchester city akifungashiwa virago na watoto wa ufaransa Olympic Lyon na hivyo kufanya nusu fainali kuzidi kunoga maana wengi tulitegemea Man City leo hii atatinga...
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Inter kachapwa 2-1 nyumbani kirahisi na Barcelona iliyojaa watoto katika sehemu kubwa ya mchezo wa leo UEFA. Inter sasa kapigwa ndani nje na Barca. Hapohapo leo ilikua mechi muhimu sana kwa Inter...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Wadau wa soka salaam, Iwapo spirit hii ya kuhuisha michezo itaendelea kwa miaka mitano tu ijayo, soka la Africa litahamia Tanzania. Hawa watoa pesa wasisahau jambo moja muhimu kuwa, ili kuwa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Kanuni za mashindano ya CAF zinaelekeza kwamba nchi 12 zenye ligi bora barani Afrika, hutoa timu 4 kushiriki mashindano ya CAF; mbili kwenye ligi ya mabingwa na mbili kwenye Kombe la Shirikisho...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeona taarifa ya kuwa Florent Ibengé amethibitishwa kuwa ndiye kocha mkuu wenu. Ningependa kuwapa kongore maana eneo muhimu kwenye timu ni kocha. wengi walikuwa wanawangoja kwa hamu kuona ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu Jana nilileta hoja ya kulishauri benchi la ufundi la Simba wasimpe Mugalu Jezi namba 9 na kweli nimeona kwenye picha kavaa Kits zenye jezi no7. Leo tena nna ushauri mwingine juu ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Pambano Kuu Title: WBF intercontinental super welterweight Wapambanaji: Hassan Mwakinyo(Tz) Vs Tshabangu Kayembe (Congo) Rounds: 12 Matokeo: Hassan Mwakinyo, ameshinda kwa Points Hassan Mwakinyo...
8 Reactions
181 Replies
20K Views
Katika kumbukumbu zangu toka nianze kuwa mpenzi na mfuatiliaji wa mpira wa Bongo,sijawahi kushuhudia timu yeyote inayoshiriki kombe au ligi kubwa kukimbia mchezo isipokuwa Yanga Ilikuwa ni 28...
2 Reactions
32 Replies
10K Views
Bodi ya ligi nchini TPLB leo imetangaza ratiba ya michezo ya ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2020/2021 utakaoshirikisha jumla ya timu 18 huku Raundi ya saba vilabu vya Simba na Yanga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, naomba kuuliza mchezo wa Ngao ya Jamii utachezwa lini, na utakuwa kati ya timu zipi maana mabingwa wa nchi SIMBA walichukua makombe yote?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kila nabii na zama zake na kila jambo lina mwanzo na mwisho zaidi hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha ndivyo wahenga wanasema hivyo tangu kuwepo kwa dunia wamepita watu mbali mbali walioacha alama...
1 Reactions
1 Replies
738 Views
Wahenga walisema," Mwache muongo akuongoze ili mwishoni aumbuke". GSM Walidhani wanaweza kuendelea na uongo wao. Walidanganya kuhusu kumuongeza mkataba Shishimbi, na Morrison mwisho wameumbuka...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Kama vipi tunamtaka Bayern Munich 'The Bavarians'
4 Reactions
95 Replies
19K Views
Naliona anguko kubwa la Man Utd lakin hakuna alieweza kutunyang'anya ufalme wetu kwenye ligi ya epl Bado sisi ni wafalme wa uingereza. Tangu timu inunuliwe na glazers family imepotea kabisa Hawa...
3 Reactions
1 Replies
932 Views
Kwanza niseme wazi mimi Mr Zero IQ ni shabiki kindaki ndaki wa timu Kongwe sana hapa nchini "Young Africa ", kupitia yeye ndio ikazaa timu ya Sunderland na atimae ndio Simba Sc ya sasa ambao...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Viongozi wetu wanafanya kutwanga maji kwenye kinu hivi sasa. Maana usajili wa msimu huu haionekani kuponesha vidonda vya mabao matano matano tuliyoyapata msimu uliopita wa klabu bingwa afrika...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hii ni mara ya pili nikishuhudia mpambano mkali kati ya Simeone na Klopp na mara zote Klopp kapoteza pambano. Kwa mara ya kwanza mtanange wa Audi Cup fainali uliopigwa Alliance Arena jijini...
6 Reactions
293 Replies
22K Views
Timu ya TZ PRISON imehama kutoka kutumia uwanja wa sokoine jijini mbeya hadi kutumua uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoa wa Rukwa, uwanja wa Nelson Mandela ndio ulitumika kwenye fainali...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom