Nimeshangaa....kwa sasa Yanga ni kama wameongeza chuki kwa Mo Dewj. Wanamchukia sana. Mpaka kuhoji kama amekabidhi tsh Bilion 20 au bado. Wanafikiri B 20 unakabidhi tu kama unavyokabidhi tsh...
Tumepata kuisikia press ya Boss wetu Mohamed Dewji leo akiongea na vyombo vya Habari. Kilichonishtusha zaidi ni kuhusu ile Bilioni 20 aliyotuahidi wanachama kuitoa mara apatapo nafasi ya kusimikwa...
Leo miamba ya soka kukutana saa 4 kamili usiku, huku Sevila ikiwa na wachezaji hatari sana. Barnega, Ocampos, Munir El haddad na Suso.,,. Inter wao wakiwa na Lautaro na lukaku.
LAUTARO MARTINEZ...
Wanayanga wamefanya Jambo kubwa Sana Kukusanyika katika mapokezi Ya Hersi na Wachezaji Toka As Vital..
1-Wachezaji wamepata Deni..
2-GSM wamepata Deni na Heshima..
3-TFF wamepata Hofu na...
Mchezaji wa zamani wa Man Utd, Ashley Young ambaye kwasasa anakipiga Inter Milan huu ndio muonekano wake mpya.
Zamani alikuwa ana kipara muda wote, kwasasa ameachia nywele kichwani...
Watu wa...
Salamo Arouch alizaliwa Januari 1, 1923 ni Muisraeli mwenye damu ya kigiriki pia. Alikuwa ni bingwa wa Uzito wa kati wa Ugiriki mwaka 1938
Kipindi Adolph Hitler anawakamata wayahudi na kuwaua...
Akina Lewandowski, Davis, mulkar haya amini. Na wanabahati wangeshapigwa 3. Ni dakika ya 20 yanapelekeshwa Bala na lyon. Na Lyons watashinda hii mechi.
Bwahaha sijui eti chuma cha mjerumani...
Ligi Kuu Soka England itaanza kurindima Septemba 12, 2020 na Bingwa Mtetezi, Liverpool inaanzia nyumbani ikiikaribisha Leeds ambayo ni Bingwa wa Championship
Baada ya kucheza na Leeds, Liverpool...
Lisbon – Bayern Munich beat Lyon 3-0 and iis in the final of the Football Champions League for the first time since 2013. The top favorite from Munich prevailed on Wednesday at the final...
Sijasikia idadi ya watu wanaotakiwa kuingia kwenye tamasha la Simba day. Lakini sijawahi kusikia wizara ya afya ikisema Sasa tuache kuvaa barakoa, distancing, kunawa mikono na kunitize mikono...
Hutasikia mtu anaongelea majibu ya uchunguzi wa polisi.
Ukweli ni kwamba Yanga ilighushi saini ya Morrison. Hili ni kosa kubwa sana na wanastahili kushushwa daraja.
Bado inaonesha mchezo mchafu...
Jamani ligi kuu Uingereza kuna dalili mwisho wa msimu Manchester United na Chelsea zikamaliza nafasi mbili za mwanzo za juu na kuna uwezekano mkubwa wakamaliza points zimelingana na hata kuna...
Kuna kanuni mpya itaanza kutekelezwa huu msimu mpya wa VPL.
Ili kuleta weledi na kupata watu sahihi, kanuni inataka wakuu wa vitengo vya habari, maarufu kama wasemaji wa club, wawe angalau na...
Ronald Koeman (57) ametangazwa kuwa Kocha mpya wa Klabu ya Barcelona ya Uhspania, akipewa mkataba wa miaka miwili na kulazimika kuacha kazi yake ya kuifundisha timu ya Taifa ya Uholanzi
Koeman...
Olympique Lyonnais (officially Olympique lyonnais in French), commonly referred to as simply Lyon (French pronunciation or OL, is a French professional football club based in Lyon in Auvergne it...
UKWELI LAZIMA USEMWE
Simba Vs Yanga
SIMBA
Imeshakamilisha usajili.
Haijaacha hata mchezaji mmoja wa first-eleven ya msimu uliopita.
Kocha amesharejea.
Inaanza maandalizi leo.
YANGA
Inaendelea...
Habarini wanamichezo, aise nikiangalia hiz sajili zinazoendelea kweny hizi timu za watani wa jadi, mimi ni Simba Ila kuna vyuma viwili ndgu zetu wamevitoa AS vita bwana bwana.
Obviously sisi...
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) kutoka Ufaransa, jana imefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuifunga Klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani goli 3-0
Mchezaji wa PSG...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.