Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimegundua kuwa kila ninapokutia Malalamiko dhidi ya Mo Dewji basi Mlalamikaji ni Mashabiki wa Yanga na sio Simba! Je Yanga amekuwa na huruma kwa kumtetea Simba dhidi ya kile wanachodai ni Utapeli...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Hivi huyu Mo anawezaje bila aibu kusema bado hajawekeza Bilion 20 Kwa mujibu wa mkataba Ila anachofanya sasa ni kuipa Simba 'ruzuku' ya bilioni 3 kila mwaka? Simba sio timu ya kupewa ruzuku. Timu...
20 Reactions
135 Replies
8K Views
Kwa kauli yangu na akili yangu ilivyo na usawia wake sikupendezwa kabisa na kauli za kisiasa za Mo kwenye Tamasha letu la Simba Day. Kauli ambazo hazikubaliki michezoni na zinalenga kutugawa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zinaenea Yanga jana ilichezea kichapo cha 3-1 ikicheza na wanafunzi wa chuo huko Dodoma. Ilikuwa ni mechi ya kirafiki katika uzinduzi wa wiki ya wananchi. Hizi habari zi za kweli?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
1: Siku kubwa. Matukio makubwa. Mechi kubwa[emoji1316] Bila shaka 'Simba Day' ni miongoni mwa Tamasha Bora Afrika kwa sasa 2: Diamond Platinumz[emoji1316] Tafsiri rahisi ya Msanii mkubwa. Bonge...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi hapa Simba inamtapeli nani?
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanajamvi Hivi hakuna mtu anayeweza kumsaidia Mo kuelewa kuwa Kuna tofauti ya Simba na CCM, Je Mo anadhani yeye kuwa mwanaccm ndo wanasimba wote tumekuwa wanaccm na washabiki wa Magufuli? Kwamba...
19 Reactions
53 Replies
5K Views
Kwa wale wapenzi wa masumbwi usiku wa leo kulikuwa na pambano kubwa kati ya haya majina mawili makubwa kwenye uzito wa juu duniani 'Heavyweight'; Dillian Whyte ambaye ni muingereza na Allexander...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi. Mmemchukua Morrison mmemchukua...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Timu ya soka ya Sevilla ya Spain usiku huu imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa baada ya kuifunga timu ya Inter Millan kwa magoli 3-2 Magoli ya Sevilla yalifungwa na De Jong (2) na Carlos wakati...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Nimepata nafasi mujarabu kabisa ya kuketi kwenye kiti cha VVIP nikishuhudia mtanange wa mnyama mkali yaani Mwekundu wa Msimbazi alivyomgalagaza Topolo la kirundi. Kwa kiasi chake ninaweza kusema...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Yanga wamemtambulisha CEO Kivuli Senzo aliyekuwa Simba SC. Katika utambulisho wameonyesha ujuzi wa bosi huyo pamoja na timu alizopitia. Yanga imefanya jambo la aibu kwa kuonyesha timu zote...
20 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu habarini? Nachukua nafasi hii nikiwa mpenda soka na shabiki kindakindaki wa Simba Sports Club kutoa pongezi kwa mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji "Mo" kwa kuiwezesha Simba kuwa club yenye...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mrisho Ngassa Ni mchezaji aliyeichezea klabu ya Yanga kwa mapenzi makubwa mno. Ameitumikia Yanga kwa uaminifu mkubwa mno na kwa nguvu zake zote, akili zake zote na kwa moyo wake wote. Mrisho...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Logo ya Simba imebadilishwa na kuidhinishwa kutumika. Swali langu ni je, taratibu za kuibadili na kuitumia nembo mpya ya Simba zimefuatwa?
1 Reactions
59 Replies
7K Views
And the rest will be history In my opinions EPL champion this season is either Manchester city or Leicester city Liverpool INA mechi ngumu sita mfululizo KatikA mechi hizo sita atapoteza tatu...
3 Reactions
155 Replies
13K Views
Ndiyo maneno ya mwanasiasa mmoja shabiki wa Simba. Imasikitisha sana. Naona wameanza Kama waliyofanya kwa Manji baada ya Yanga kuanza kushusha vifaa vya maana. Mtulie hivyo hivyo. Hiyo...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
uswahili wa yanga nilishauona hakuna uwezo wa kufanya sajili yoyote ya nje mkibisha mnitoe jf namaanisha nisemachoo
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hili ni fundisho kwa vitimu vidogo vidogo vinavyong'ang'ania Dar wakati hawapati mashabiki kumbe wangejiongeza wakaenda huko mikoani wangepokelewa kama wafalme na wangepata mashabiki
2 Reactions
1 Replies
749 Views
Back
Top Bottom