Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ngudu wanajamiiforum wenzangu kuanzia Leo nimeacha kushabia team ya Manchester united sababu haina mikakati madhubuti ya kutawala EPL na kutetea wanyonge ili kuondoa ile Spain domination kwenye...
3 Reactions
69 Replies
7K Views
Kama mwanayanga nasema asante sana molinga TP Mazembe ni timu kubwa sana.. katika kikosi chake cha mwaka 2020 kuna mchezaji kama molinga.. mtanzania.. ana mwili mkubwa na watanzania tunamsema...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wiki iliyopita wakati Klabu ya JKT Tanzania ikicheza dhidi ya Yanga SC katika Uwanja wa Jamhuri katika Mji Mkuu wa Tanzania Dodoma mara baada ya Mchezo huo haraka sana Katibu wa Wizara husika ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Enzi zile mkibebwa wazi wazi,mlidhania maisha ndivyo yalivyo.Kwa sababu mlifanyiwa hivyo,mnalala mnaota na wapinzani wenu wanaganyiwa hivyo. Jaribuni kuangalia Simba wana record gani kimataifa na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Yanga wanaendesha Timu yao kienyeji sana 1. Picha ya Hersi na Morrison haimanishi chochote Pengine walishika makaratasi matupu yasiyo na maandishi Kwani ile mifano ya check wanazopigaga pivha...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kikosi cha Yanga Mechi zinaendelea jioni ya leo
2 Reactions
155 Replies
13K Views
Kama ulivyosoma kichwa Cha habari naombeni mtandao mzuri ambao ausumbui Wala kukatakata wa kustream mpira mwenye kujua anisaidie.
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Haya mambo ndo yanaiweka nchi kwenye lowest IQ countries sasa hebu Soma hii post ya cafonline eti wabongo wamejibu "Samattaa"
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Mechi imeshaanza kati ya mbeya city Vs Simba Sport Club Mpira unachezwa Mbeya . Updates Mbeya city 0- 1 Simba Dk 5' Bocco[emoji460]️ Updates Mpira ni mapunziko Mbeya city 0- 1 Simba Updates...
6 Reactions
99 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu? Kuanzia msimu wa 2017 mpaka sasa young africans sc mwenendo wake umekuwa sio mzuri timu inazidi kupoteza uwezo wa kiushindani kwenye ligi na msimu unakuja itazidi kushuka kama...
2 Reactions
68 Replies
4K Views
Kamati ya nidhamu ya TFF imewafungia mechi mbili kila mmoja na faini ya laki tano. Jonas Mkude anaingia kwenye adhabu hii baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Biashara United ya Mara. Huku Benard...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Warren buffet ambaye ni mmoja wa matajiri ambao wamedumu katika tano bora ya matajiri dunia katika kipindi cha miaka kumi na tano, aliwahi kusema “siku zote ukinunua usicho kiihitaji utapoteza...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
" Lakini ukweli lazima usemwe kwa sasa tuna pambana kukaa juu ya Namungo na kwenye FA tu habari za ligi na nafasi ya pili zili komea jumapili, " Anton Nugaz. Na kwa Kuwakumbusheni tu ili UTOPOLO...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Inavoonekana waziri wa michezo hapa nchini, mheshimiwa Mwakyembe, analazimisha kupunguza wachezaji wa nchi za nje kwenye timu zetu, sawa ila mie nadhani angeanza na makocha toka nje kwanza kuona...
1 Reactions
4 Replies
883 Views
Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
. Nadhani wengi mnamjua Ricardo Izecson dos Santos, ni huyo huyo anaejulikana kwa jina la Ricardo Kaka, namba 10 bora sana katika kizazi chake . Najua nikikuuliza unamkumbuka Kaka kwa lipi, 90%...
12 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii ni yanga au UTOPOLO? Yaani sasa hivi wana strugle kutafuta nafasi ya piriiiiiiii( in mr Utopolo's voice)
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Moja ya vitu ambavyo haviniumizi kichwa na moyo ni kufungwa kwa Arsenal kwa kipindi hiki ni kitu ambacho tayari nilishakifahamu. Kutoka kwa Arsene Wenger mpaka kwa Unai Emery tayari kulikua na...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wale mnaofatilia mipira ya nje namaanisha ligi za Ulaya au michuano ya kimataifa, kila baada ya mechi kunakuwa na uchambuzi wa timu na wachezaji binafsi kupewa makisi kutokana na uchezaji wao...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom