Ndugu zangu watajwa hapo juu, nyie ni nyota katika tasnia ya mpira hapa Tanzania na inawezekana yaliyotokea hapo nyuma yaliwafanya mkafikia maamuzi mliyofikia lakini kila nikitizama naona iko haja...
Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mpira unatakiwa uwe wa Mviringo wenye Mzingo/Mzunguko wa Sentimita 68 hadi 70 (Mpira Namba 5), ukitengenezwa kwa ngozi au...
Rais Magufuli bwana nimemuona anashangilia bao la Yanga hata kama yeye ni Simba na kavaa jezi ya Yanga nimeipanda hayo ndio mambo tunataka kuliunganisha taifa.
Mkongwe wa klabu ya Barcelona aliyekuwa Mchezaji machachari, aliyenifanya niipende Barcelona mpaka leo hii enzi hizo nikiangalia mpira nataka ashike tu mpira yeye.
Tufungwe tushinde ila awe...
Morali ya mashabiki ni ndogo hapa uwanjani. Wachezaji wanapasha tayari kwa mpambano kutafuta point tatu. Ukumbuke tu Yanga SC haijawahi kutoka na point 3 katika uwanja huu zamani ukiitwa Namfua...
Kijana wetu katupia goal lake la kwanza, naona anaimbwa na wakoloni uwanjani.
Kocha Smith kamuamini kucheza dakika zote 90' 👏
Hata kama wamefungwa tulitaka hili litokee goooooal
Hizi stori za kununua mchezi mbona kama zina mashiko. Maana mabao ya Penati yalikuwa mengi sana msimu huu.
Hizi stori za kununua marefa mbona zimekuwa nyingi. Maana mabao ya offside yalikuwa...
Ishu ya Mapato ya Simba na Yanga
Hii hapa
Mgawanyo wa mapato
VAT 52,295,338.98
Selcom 15,170,006.25
TFF 13,767,982.74
Uwanja 41,303,948.22
Young Africans 165,215,792.86
Gharama za mchezo...
Kwa mujibu wa Sheria hizo za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inaweza kuchezwa kwenye Uwanja wenye nyasi asilia au za kutengeneza ila nyasi za kutengenza lazima ziwe za rangi...
Nitajiunga na CCM endapo Simba watashinda mechi ya leo bila kubebwa na marefa sioni beki za kuwazuia washambuliaji wa Yanga wasipate matokeo gemu ya leo.
Hili jambo mtaalamu amelitengeneza na uhakika upo. Mikia mjue kichapo kipo kwa sababu uhakika huu tumepata kutoka kwa Sheikh mwenyewe, mtalaamu wa kutengeneza mambo.
Na pia mzee kutoka Tanga...
Kampuni ya GSM inayodhamini Yanga imeahidi mil 200 kwa wachezaji wa Yanga iwapo watafanikiwa kuifunga Simba hapo tar 8.
Mwamuzi wa mechi hiyo ni Martin Sanya aliyewahi kuruhusu goli la Tambwe la...
Kichwa cha habari chajieleza.
Kiwango cha Simba wakati wa Uchebe hakifanani kabisa na Simba hii chini ya kocha huyu mpya mwenye CV ya kusononesha.
Simba ya Uchebe haikuwahi kuzidiwa ball...
Ikiwa kila unapohudhuria mechi ya Simba SC pale uwanja wa Taifa lazima tupoteze, na wewe ukiwa ni mpenzi namba moja wa michezo nchini, hasa mpira wa miguu, nakuomba kwa heahima na taadhima siku...
Nimewaza na kuona ni vema tumuombe RAIS wetu wa JMT, pesa kwa ajili ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya. Najua DODOMA tulipata ofa za wahisani.
Naomba...
Nataka niweke records sawa kwa wana yanga kuwa, mara ya mwisho Simba SC kufungwa Uwanja wa Taifa aka kwa mchina ilikuwa 23/05/2019 alifungwa na timu ya Sevilla ya Spain.
Al ahly, Js saoura, As...
Kiwango cha golikipa huyu kiukweli ni cha kutia shaka mno , mimi nilimstukia kitambo kirefu sana na hata baada ya Kocha wa Taifa Stars Ndaiyagile kumbwaga na kumchukua Kikongwe Kaseja sikushangaa...