Wakuu sometimes mtu unajikuta huna bando la internet na pengine umeweka mkeka wako na unatumia Freebasics huna access na internet.Tutumie huu uzi kufahamishiana matokeo ya mechi na ratiba za mechi...
Shirikisho la Soka Nchini (TFF) limesema uratatibu wa Wachezaji kupeana mikono kabla ya kuanza mechi hautatumika kwa sasa na badala yake watasalimiana kwa ishara tu
Utekelezaji huo unaanza leo...
Timu ya mpira ya Etoile de Guinee imepata ajali. Wachezaji nane wamefariki dunia na wengine 17 wamejeruhiwa.
Timu hiyo ilikuwa njiani kwenda kucheza mchezo wao wa kwanza wa msimu
====
A bus crash...
Naaaaaaam,
Karibuni tena kwenye patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League (VPL), ambapo leo March 1, 2020, mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama, wanawakaribisha KMC FC kwenye uwanja wa...
Wasafi wameanzisha michuano ya mpira inayohusisha team za mitaani ambayo inaitwa kivumbi cup kwa lengo la kupata vijana wenye uwezo lakini pia ni sehemu ya vijana kujipatia kipato.Mshindi wa...
Heri ya sikukuu ya Noeli wana JF,
Hivi kuna watu wengine wanaota hii ndoto mbaya ambapo Jose Mourinho anakaribia kupatwa na maafa kama yaliyomkuta Coach mzoefu Carlo Ancelotti pale Bayern...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haji Manara amesema:
"Washabiki wa Simba wamenijia ghafla leo ofisini na kunikabidhi shilingi milioni moja ambazo zilichangwa kwa hiyari na Group moja la Watsap...
Nimekusikia jioni hii ukihamasisha watu wajazane uwanjani mechi ya Simba na Yanga ila ukumbuke kuna Corona.
Ikiwezekana milangoni muwapime watu joto sio kuwajaza tu uwanjani, likiibuka la kuibuka...
Wapenda mpira siku ya jumapili wiki hii kutakuwa na mtange wa kukata na shoka kati ya Yanga na Simba tar 8 march 2020. Kama kawaida kila upande huaamini timu yao bora.
Naanza na uchambuz huu...
Hili jambo sasa limetamalaki mno kwa Viongozi, pamoja na Graphic Designer wa Yanga, kutoheshimu logo maalum za timu nyingine, jambo ambalo si sahihi kwakweli tukiweka ushabiki pembeni.
Wenye...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji MO, amempongeza kocha Sven Vanderbroeck kwa kazi nzuri ya kukinoa kikosi hicho cha wekundu wa Msimbazi.
"Hongera Kocha Sven...
Ifuatayo ni nukuu ya Shabiki wa Yanga FC na Mwandishi Mchambuzi Privaldinho aliyoiandika katika Ukurasa wake wa Instagram hasa baada ya Kuchoshwa na Uwendawazimu wa Mashabiki wengi wa Timu yake ya...
Wanabodi,
Katika nchi yetu tumekuwa na mfumo wa kupata viongozi vya kisiasa kupitia mfumo wa vyama vya siasa na katiba yetu hairuhusu wala kutambua mgombea asiye na chama cha siasa...
Umeona kuwa Kesho Yanga SC yako ikicheza na Gwambina FC katika Kombe la ASFC kwa Udhaifu na Uchanga wa Timu hiyo ya Gwambina leo umejifanya Kujitokeza katika Vyombo vya Habari na kusema kuwa Kesho...
Hello Tanzania na Duniani Kote
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania, Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kuvurumishwa leo Jumatano ya March 4, 2020, ambapo Wana Lambalamba Azam FC, wanawakabili...
Majina maarufu ya utani ya baadhi ya wachezaji wa zamani.
"Golden Boy" - Zamoyoni Mogella.
"Sikinde" - Celestine Mbunga.
"Kizota" - Said Mwamba.
"Kwasakwasa" - Jobe Ayubu.
"Bwalya" - Frank...
Naona watu wengi wanabishana baada ya kutoka kibanda umiza kwamba goli la Everton la dakika ya 90+ ni OFFSIDE.
Kwa kifupi ile ni offside ya wazi kabisa kwa wale wanaojua sheria za mpira.
Sheria...
Kwa ujumla mechi ilikuwa ya kiwango kizuri na cha kuridhisha kwa mtazamaji kwa vipindi vyote viwili.
1. Simba walitawala sn kipindi cha kwanza na km wangeacha kucheza show game na kucheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.