Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Watani wa jadi tukutane hapa, kuelekea mechi ya Jumapili March 8 na mechi nyingine zijazo. Yanga Sc (jina kamili ni Young Africans Sports Club zamani "KUALA LUMPUR) ni timu ya soka ya mjini...
1 Reactions
62 Replies
9K Views
Yaani hawa nyau wamekera sana, wanacheza mdomoni tu, ona walivyotusababishia tujifungie ndani tu. Ubingwa bila kumfunga Yanga hauna maana yoyote. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna hii ngonjera na propaganda ambayo imetawala vichwa vingi vya mashabiki wa mpira kuwa E.P.L ndiyo ligi ngumu zaidi duniani. Kila siku huwa tunawapa facts huku kuwa England sio ligi ngumu bali...
6 Reactions
109 Replies
10K Views
Mashabiki wengi wa Simba wameshatengeneza mentality ya wao kushinda dhidi ya Yanga Tena kwa magoal mengi kwa kuamini Yanga ni mbovu.Me ni mshabiki wa Simba lakini kwenye derby chochote kinaweza...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Poleni na weekiendi mashabiki wa kandanda popote mlipo ndani na nje ya Tanzania, Hii ni moja ya Jumapili iliyokuwa inasubiliwa kwa hamu kutokana na mechi iliyokuwa inawakutanisha miamba ya soka...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Tuliwaambia siku ile tuliwakosa sana na ilikuwa bahati mbaya kwetu mpaka mkatoa sare. Lakini nyie mkajifanya kutokuishangilia ile sare. Sasa nyie mikia kama mtashindwa kuitolea maelezo ile sare...
1 Reactions
2 Replies
780 Views
Freeman Mbowe ni mmojawapo wa wanachama maarufu sana wa klabu hiyo tangu enzi ya ile kamati yao ya "Saidia Yanga Ishinde". Kabla kina Lingalangala hawajaibuka Yanga Mbowe na wenzake ndio waliokuwa...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Hakuna ubishi uwezo wa timu hizi mbili unadhibitisha matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga hiyo January,2019. Yanga inakwenda kula vitasa vya nguvu. Yanga imeonyesha kiwango hafifu sana na mashabiki...
14 Reactions
78 Replies
11K Views
Kweli meza imepinduliwa. Mnyama amekatwa mkia. Katika siku niliyofurahi maishani mwangu ni leo kwa Yanga kuifunga Simba. Tambo za Simba zilivuka mpaka na wakaiona Yanga ni timu bovu (Underdogs)...
1 Reactions
0 Replies
798 Views
Yaani huyu mchambuzi maandazi anapanga na kumuacha Luiz,akidhani huu ujinga wake benchi la ufundi litauchukua ila Yanga wapate nafuu! Kwa taarifa yenu Luiz ni lazima aanze,labda kama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania wapenda michezo na wanaojua mpira na nidhamu kwenye michezo tuungane na Mbwana Samatta katika hili dhidi ya watanzania wenye lugha chafu na wasiojua mpira na wanaoshabikia tu mpira...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Salaam Tanzania na duniani kote! Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayojulikana kama Vodacom Premier League (VPL), Kuendelea kushika kasi katika viwanja tofauti ambapo kwenye dimba la CCM...
6 Reactions
103 Replies
10K Views
[emoji1318] Wakuu, Kwa wale wanaojua na kufuatilia vema masuala ya soka hasa hapa nchini, Kwa nini klabu ya soka ya Yanga ina nicknames nyingi kama vile 1) Gongowazi fc, 2) Vyura fc, 3)...
9 Reactions
75 Replies
13K Views
Kauli mbiu ya vyura fc saivi ni "kama hakuna makandokando tutashinda" hii ni dalili ya kushindwa hii kwanni uanze kuogopa? Kwanzia muhamasishaj waoi mpaka shabiki lao 1 tu,mm nawaambia kuwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Naombeni msaada wa jinsi y kupata video ya maelekezo ya KUJIFUNZIA self defense iwe Karate, Kung Fu, Tae Kwondo au kick boxing. Mwenye nayo naomba ashee (share) na sisi hapa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Tout Puissant Mazembe Out ! Le Mihayo est éliminé Le Miracle n'aura pas Lieu - Miujiza haina nafasi. Kwa mara ya pili mfululizo Mazembe inaishia katikati ya Michuano ya Klabu Bingwa Africa ...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mamelody Sundowns <>Al ahly 16;00 (0-2) Tp Mazembe <>Raja Casablanca 16;00 (0-2) Etoile du Sahel <> WydadCasablanca 22;00 (0-2) Utabili wangu👇🏿 Al Ahly ✔ Raja ✔ Wydad ✔ Tp Mazembe ✖ Mamelody...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Roho ya wapenzi na mashabiki wa Yanga inakubali kuidhamini Simba kwenye mikeka yao japo hata double chance Kama si direct win kwa Simba maana wanajua kitwakwimu na tatumini ya Sasa Yanga yao Ni...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Mechi hiyo inatazamiwa kuchezwa Oktoba mwaka huu. Ajabu ni kwamba kocha wa mojawapo ya timu mbili hasimu amejitokeza na kuwaambia watazamaji kuwa mchezo utakuwa wa haki tena haki tupu. Maswali...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu huu ni uzi maalumu kwa ajili ya michuano ya Kivumbi Cup 2020 amabayo mshindi ataondoka na 20M/=..yapo chini ya Wasafi Media CEO wake akiwa Diamond Platnumz.Kuna team 32 Zilizopangwa group...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…