Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na...
Hii match angepewa Kayoko ndo anaweza imudu. Arajiga hana stahimili. Anagawa sana kadi na pia si msikivu. Sikupenda yeye kupewa hii match. Nlijua tu kushinda ni ngumu.
Huyu jamaa asiwe anapewa...
Haiwezekani.! Haiwezekani.!
Mechi 8 straika la mchongo mpumalelo asifunge hata goli la offside? Dube ni straika mbovu hajawahi tokea anashindwa hata na huseni mwalimu wa fountain gate? mukwala...
Nimewahi kuwaomba na kuwashauri mumsajili Kevin Nashon ambaye naskia Yanga wako mbioni kumalizana naye, mpira wengine tunaujua nyie mnatuchukulia poa tu.
Niliwahi kushauri kuhusu Mudathiri...
NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili...
Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na Mangungu walikuwa wanaizodoa Yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni!
Hicho kigoli kimoja...
Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu!
Lakini pia...
Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na...
Unaeweza tazama maswahibu anayopitia Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania na vilabu vya Mtibwa Sugar, Pamba, Simba na Yanga.
Hapa tunamzungumzia, Alphonce Modest, beki aliyesifika...
Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya...
Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na...
Mechi ya Singida Blacks Stars kwa sasa ni Mapumziko kwa matokeo.ya 0-0 lakini kitendo cha Kocha wa Yanga Miguel Gamond kuonekana akimchapa Konde mmoja wa watu wa benchi la ufundi wa Singida Black...
Ni baada ya kipindi cha kwanza kuisha kulizuka mzozo kwenye lango la kwenda vyumba vya mapumziko, baada ya varagati hilo alionekana moja ya makocha wa Singida Black Stars akiwa amelala chini.
Kama Sisi wenyewe tu (Simba SC) wale tuliokuwa tukidhani ni Watoto wetu Wapendwa wataweza Kutulegezea tukikutana nao lakini Wote wanatudindia tu huku wakitukosakosa Kutufunga na mara nyingine...
Habari.
Sina Mda kuanza kutoa takwimu Mara kuchambua Mchezo wa Leo Ili kuthibitisha hio heading ya Uzi.
Ila hizi ni hisia zangu tu..Narudia hizi ni Hisia Zangu sio kimbinu wala Nini!
Simba at...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.