Singida ni kama Simba tu kwetu. Huu ni mti wa mwembe wa uani. Unajichumia tu maembe.
Singida toka ianzishwe sikumbuki kama imewahi toa hata draw na Sisi Wamba. Never. And never. It will never...
Goli Bora huwa na mambo yafuatayo.
1. Umuhimu wa goli
2. Limefungwaje
3. Juhudi na weledi wa mfungaji
4. Ubora na defensi ya waliofungwa.
Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala...
Utulivu, Malengo na Focus za wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Kuna namna naona hii timu safari hii haijadhamiria sana taji la Ligi (japo hii inatokea tu automatically kutokana na ubora...
Sijui rangi nyekundu hawa jamaa sijui waliipata wapi, nani alishauri na nini chimbuko lake. Ni rangi ya kikoloni zaidi kuliko Tanzania.
Rangi nyekundu haimo kwenye bendera na alama za taifa; iko...
Waitaliano ni moja kati ya watu wenye akili nyingi sana. Ni jamii ya watu wa kale walio staarabika tangu enzi na enzi.
I put them in the same space as the Ancient Egyptians, Ancient Greeks and...
Hongereni sana wachezaji wa Yanga kwa ushindi wa jana. Kweli sisi mashabiki wa Klabu tulifurahi sana. Ule usemi wa Yanga inapendelewa sasa waseme mengine. Wachezaji walicheza kama timu. Nkane...
Huyu striker nimemtokea kumpenda sana, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, ana mbinu, ana mikakati, ana uwezo mkubwa lakini ni mchana nyavu hasa.Muite Leonel Ateba Mbida.
Mcameroon huyu...
Sikupenda goli walilofungwa mashujaa lakini iwe fundisho kwa wale wapoteza muda mwisho wa siku imewagharimu.
Hongera simba kwa pointi tatu za jioni!
Angalizo man of the match ni johora!
PIA...
Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza ni jinsi gani ntaweza kusaidia kujenga uwanja wa BASKETBALL mtaani kwangu kwa muda mrefu sasa, sina kiasi cha pesa cha kutosheleza kwasababu mimi pia ni mwanaharakati...
Ateba niliyemuona leo sio yule ambaye tunamjua, wamemwekea misumari miguuni,
Viongozi wangu wa Simba lifanyieni kazi hili jambo, sio kawaida kwa Ateba kutoka kapa uwanjani mechi ya nne hii.
Kwanza msiogope washabiki wa Mpira, Kuna mahesabu ya Utabiri wa Bingwa wa ligi pamoja na msimamo wa ligi kuu pale itakapofikisha mechi ya 30, mahesabu haya yanafanyika Kwa ligi mbalimbali ikiwemo...
Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan.
Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013..
Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB.
YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
Naangalia hapa mechi ya mvuto na Raha wanayoangalia wanachuga na nakumbuka kuwa hizi Raha wanasingida watazikosa due to unwise decision made by their leaders.
Imagine wao wataishia kuziona team...
Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika.
Shamrashamra...
Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya Dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya...
Nimetokea kuvutiwa na baadhi ya waamuzi kwa jinsi wanavyochezesha mpira kwa namna inayoleta burudani
Mfano napenda sana kuangalia mechi za Arajiga, ni mechi ambazo timu ikilemaa inakula dozi ya...
Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu.
Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia
Prince Mpumelelo Dube mpaka sasa hajaonesha makali yaliyotegemewa wakati anajasajiliwa Yanga.
Dube amezungukwa na wachezaji wazuri ila magoli kafunga machache sana mpaka sasa.
Wakati Ateba kaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.