Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

https://www.youtube.com/watch?v=VtlBImnGwsc
0 Reactions
0 Replies
167 Views
"Mashabiki wa Yanga ni Mambumbu Wanapiga kelele tu nakuzomea kama mbwa au Nyani lakinu hawajui mpira" Luc Eymael
1 Reactions
10 Replies
444 Views
Klabu ya Yanga inahusishwa kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Azam fc Prince Dube baada ya mchezaji huyo kumalizana rasmi na timu hiyo lakini hapo awali kulikuwa na tetesi nyingi sana kumuhusu...
2 Reactions
9 Replies
788 Views
Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho . Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania...
-4 Reactions
123 Replies
3K Views
Jamani, Jamani hii YANGA ni balaa jingine ktk Nchi hii ndani ya NBC LEAGUE! Haya tena Wananchi kama kawaida, ktk kuendeleza kuandika historia nyingine baada ya hii ya kuwakanda watani mara nne...
7 Reactions
11 Replies
756 Views
Na ndiyo maana baada ya Kuugundua huu Ujuha wa NBC Premier League nimerejea Kuishangilia Liverpool yangu EPL.
7 Reactions
15 Replies
937 Views
Yaani kama kuna Mtu ambaye namuona ni Nuksi ndani ya Simba SC yetu na Anatuponza mno Kimatokeo kutokana na Kauli zake na Uyanga wake aliojifichia kwa kusema kuwa Yeye tokea zamani ni mwana Simba...
4 Reactions
11 Replies
751 Views
MALIZANA NAO MAPEMA Ili uwafunge Yanga wafunge mabao zaidi ya moja kipindi cha kwanza, ili wakirudi wawe na mlima wa kusawazisha na kutafuta ushindi...yaan MALIZANA NAO MAPEMA. Half time talk...
11 Reactions
16 Replies
906 Views
Kama umemfuatilia Che Malone ni beki aliye na uwezo wa kupiga chenga, ana nguvu, ana composure nzuri akiwa na mpira, ana uwezo wa kufunga na kukimbia na mpira. Haya yote anayafanya akiwa anacheza...
3 Reactions
19 Replies
773 Views
Kuna siku nadhani msimu uliopita wakati Simba inapitia changamoto ya nafasi ya golikipa, niliwahi kushauri John Bocco apewe tizi ili awe golikipa. Niliamini angeweza kuwa kipa mzuri kuliko hata...
4 Reactions
13 Replies
771 Views
Miguel Gamond anasema Dennis Nkane anafaa kuwa beki wa pembeni ansye panda na kushuka na ameanza kumtrain kwenye hiyo position. Jana dogo kaupiga mwingi sana, yani anakuzuia + kupiga soka...
11 Reactions
10 Replies
857 Views
Vincent Garcia, Mhariri Mkuu wa France Football ambao ndio wamiliki wa tuzo za Ballon d'Or amebaki njia panda baada ya CR7 kuzikacha tuzo hizo. Pia, Soma: Rodri ashinda Ballon d’Or 2024, kiungo...
0 Reactions
4 Replies
392 Views
Siku hizi ni rahisi kuona timu ngeni zikija na mapipa yake kwaajili ya kuweka maji yenye barafu (maji baridi sana) kwaajili ya wachezaji. Faida hizi ya maji baridi sana sio TU kwa wwchezaji lakini...
29 Reactions
63 Replies
2K Views
⚽️ Singida BS🆚Young Africans SC 📆 30.10.2024 🏟 New Amaan Complex 🕖 8:30 PM Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars Sc Mpira umeanza Dakika ya 2 Sbs 0- 0 yng Dakika ya 3 Boka amefanyiwa...
17 Reactions
483 Replies
18K Views
Tumalize utata, kiungo cha chini, Sergio Busquets Vs Rodri unaenda na nani kwenye timu yako?
4 Reactions
43 Replies
1K Views
Taarifa mpya kutoka ukumbini Théâtre du Châtelet ni kwamba majina ya nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr na Jude Bellingham yameondolewa kwenye viti vyao kwa hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club anashuka dimbani leo kuikabili Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C. Simba itaingia uwanjani ikiwa na alama 6 huku Horoya wakiwa na alama...
34 Reactions
2K Replies
86K Views
Mechi ya KenGold inaisha Mtangazaji Michael Maluwe anamuuliza kocha mzungu ""You create the chance....... Badala ya ''you created some chances..... Kweli lugha ngumu
11 Reactions
73 Replies
2K Views
Mimi naanza na Jesse Lingard yupo Man Utd
2 Reactions
94 Replies
10K Views
TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote, Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga...
10 Reactions
78 Replies
2K Views
Back
Top Bottom