Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Coastal Union VS Yanga SC NBCPremierLeague Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Tarehe: Novemba 26, 2024 Muda: Saa 10:00 jioni Mechi imeanza karibu kupata burudani ya Soka
9 Reactions
225 Replies
10K Views
Leo ilikuwa mechi ya watani wa jadi SIMBA na Yanga. Maarufu kama Deby ya Kariakoo. Michezo pia ni siasa.. Lakini pale inapokuwa ni siasa safi bila agenda za siri nyuma yake.. Kinyume chake ni...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Najua wengi mnatawaliwa na ushabiki mandazi lakini hamuwezi kuona kile ambacho mastermind wa SBS anakiona. Niliwahi kuanzisha huu uzi Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila...
2 Reactions
19 Replies
970 Views
Ukweli acha usemwe tu Yanga inatimu nzuri sana kwa misimu hii minne tangu alivyokuwa kocha la mpira Nabi hadi sasa Master Gamond ambaye anarekodi zake nzuri kwa kipindi cha msimu mmoja na nusu...
1 Reactions
4 Replies
438 Views
Moja ya mechi ngumu mikoani ni pamoja na hawa wanajeshi wa mpakani, Mashujaa, msimu huu wako vizuri sana, leo nimewaona wakiipelekesha Fountain Gate pale Kirumba na ilikuwa waondoke na point 3...
1 Reactions
20 Replies
911 Views
Yeeeerrrrreeeeh Mimi siyo shabiki wa Man U lakini nachukia sana ubaguzi kwenye mpira hasa vijana wetu waafrika weusi wanavyobaguliwa. Huyu mdachi Ruud van nistelrooy kocha mpya wa muda wa...
5 Reactions
18 Replies
991 Views
Huu ni Mwembe wa uani. Sisi tunajichumia tu tunakula maembe. Kifupi Yanga hatuna mshindani katika ligi ninyi wenyewe mmeona. Ikitokea hata Azam kutoa draw mi najisaidia hadharani pale mnara wa...
3 Reactions
4 Replies
246 Views
Asipoangalia nae atamaliza msimu na magoli matatu Amesajiliwa kwa hela nyingi sana,shida nini? Umekuwa galasa kuliko Sarpong na Moringa
4 Reactions
74 Replies
2K Views
Leo tumeona maamuzi mabovu ya refaree mechi ya Simba SC vs Coastal Union Mwamuzi kamaliza mpira mchezaji akiwa kwenye move ya kufunga goli hivi hizi mbeleko mpaka lini Hawa Simba SC aisee...
10 Reactions
57 Replies
5K Views
Mnaojua kuhesabu siku bado zile siku 7 walizotoa wazee wetu hazijaisha? Pia soma - Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby
1 Reactions
18 Replies
742 Views
Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema: Juventus Academy Tanzania...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari! Kwa mtu aliemfatilia Jamaa Kwa hizi games zote alizocheza Kwa playing style ya Simba na anavyocheza yeye hafai kabisa na soon mtakuja kukubaliana na Mimi. Ni Mzito Balaa na anachoka...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu kwema! Kama tunavyofahamu hapa jukwaani kumekuwa na mijadala tofauti tofauti kuhusu udhamini wa GSM na vilabu zaidi ya 7 kwenye Ligi ya NBC. Ambapo kuna wadau wa soka wanasema hii si nzuri...
1 Reactions
5 Replies
856 Views
Ndugu zetu Simba msimu huu wamekuja na kauli mbiu hizi, Yanga anabebwa, Yanga ananunua mechi, GSM anatuharibia ligi na kuna muda wakipagawa zaidi utawasikia wanasema Yanga imeshuka kiwango. Maoni...
15 Reactions
32 Replies
1K Views
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa...
5 Reactions
46 Replies
1K Views
Nataka kuonyesha kuwa mashabiki wengi wa Ronaldo hawana akili japo sio wote kuna vipengele hapa nitaviweka hapa na utambue kuwa wewe kama utaamini Ronaldo ni bora kuliko Messi basi Huna akili...
1 Reactions
22 Replies
968 Views
Yes. Kuna mastaa wengi kutoka nchi zingine tumeshuhudia wakikipiga soka hapa nchini n wengine bado wapo hata sasa baadhi yao ni kama hawa hapa Musonda Francis Kahata Yaw Berko Amis Tambwe Haruna...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Mapema leo Katibu mkuu wa wizara ya Utamaduni,Sanaa na michezo Gerson Msigwa amkabidhi shilingi Milioni 5 bondia Abdul Ubaya kama zawadi Mara baada ya kushinda pambano lake lililofanyika oktoba...
0 Reactions
5 Replies
318 Views
Nadhani sasa ifike muda Mashabiki wa Simba SC tuanzishe Mtindo wa Kuwaadabisha hawa Wanafiki kwa Vipigo Oky?
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Back
Top Bottom