Nikiangalia kikosi cha Pep Guardiola,pamoja na usajili alioufanya mpaka sasa,sioni timu tofauti na Man City ikibeba ubingwa wa EPL msimu ujao.
Inauma,lakini niseme tu ili timu tofauti na Man City...
Inashangaza sana baadhi ya mashabiki wa Simba kutupa lawama kwa mwamuzi wa mchezo wengine wakitoa lawama kwa serikali, Swali la msingi ambalo wanajisahaulisha, Hivi kweli walikuwa serious...
Usiku wa leo, kuna hafla ya ugawaji wa tuzo za Ballon dor
Kwa mara ya kwanza tuzo hizo hazitakuwa na majina ya Lionel Messi au Cristiano Ronaldo.
Vinicius Junior wa Real Madrid anatajwa kama...
Bodi ya Ligi imeahirisha mechi kati ya Simba SC na JKT Tanzania kufuatia ajali iliyolikumba kikosi cha JKT Tanzania. Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa 1:00 asubuhi baada ya basi lililowabeba...
Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na...
Mchezaji nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr, hatasafiri kwenda Paris kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo ya Ballon d’Or baada ya kujua hatashinda tuzo hiyo mwaka huu.
Uongozi wa klabu hiyo umeamua...
Kocha Miguel Gamondi yupo kwenye orodha ya Makocha wanaohitajika na klabu za Afrika Kaskazini.
Kulingana na taarifa za ndani, klabu ya JS Kabylie inataka kumteua kocha wa Yanga SC, Gamondi kama...
Mtazamo wangu baada ya kuwatazama Barcelona dhidi ya Madrid, nimegundua kwamba, pamoja na kufanya mazoezi ili mchezaji aweze kucheza soccer kikamilifu na kung'ara anatakiwa pia awe na akili kubwa...
Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico.
Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu,
Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto.
Ni El clasico nzuri baada...
Wakuu Habari zenu?
Maana ya neno Killer ki Hebrew ni "Rotzach" na "southern." ni Dromi" kwa Pamoja ikimaanisha "destroyer of the south."
Kwenye mpira wa miguu kumekuwa na nickname kwenye majina...
Wazee tunaoangalia Mpira Kuna kipaji kipya hapo Barca hakiimbwi sana ila ni shughuli balaa jamaa anaitwa MARC CASEDO
Tujiandae kumpa jicho leo mechi na Bayern Munich, Very very talented
Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo!
Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba...
Wakuu vilabu vyetu vinaubonda mwingi Afrika!.
Klabu za soka za Simba na Yanga za Tanzania, zimetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha ya klabu 10 zinazowania tuzo ya Klabu Bora...
Cristiano Ronaldo, nyota wa Al-Nassr, anamtafuta mzee mmoja aliyeonekana katika video akimtaja kwa hisia, huku akitokwa na machozi.
Katika video hiyo aliyo-post kwenye mtandao wa X (Twitter)...
1. Mchezo ulikuwa mzuri isipokuwa wachezaji wetu wana fatigue na huu mkakati tuliowekewa wa kucheza baada ya siku 2 nna uhakika tunaenda kudondosha point hasa kule mkoani vs Mashujaa lakn mungu...
1. Mechi ilikuwa nzuri kwa upande wetu na hasa binafsi nilifurahishwa sana na upangaji wa kikosi pale Fahdu alipomweka Awesu Awesu kucheza namba 10 na Augustine Okajepha kucheza kiungo wa juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.