Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

SIMBA tupambane sana mazoezini. Hii ndio silaha yetu wachezaji wengi wa SIMBA FITNESS ipo chini sana. Pili SIri za TIMU nani anazitoa ndani kwenda nje? Hili ndio tatizo kubwa SIMBA. Mwisho...
2 Reactions
12 Replies
659 Views
Rais wa sasa wa Shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe ametangaza kuwania tena kiti hicho katika uchaguzi utakao fanyika Machi 2025. kufuatia maombi kutoka kwa wanachama wa CAF, marais...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Mkongo FC imeweka historia Samia Cup! kwa kumaliza nafasi ya 3, Mechi ya Fainali inaendelea kati ya IHANGA dhidi ya LIBANGO.
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Mpaka unaona wamekimbilia kutoa Masada kwa yatima ujue ngoma imekuwa ngumu kwao, walikuwa wanatufunga bila kusaidia yatima kwa sababu walikuwa wanapewa ishu zetu, ngoma imebadilika mganga wao...
6 Reactions
24 Replies
995 Views
Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea? Mechi ya juzi tumenyongwa...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Kwanza mkisikia interview ya Gamond baada ya Kumchapa Simba, aliongea kauli Moja kuwa alitumia ubabe kumpanga Diara aliewasili katika Tanzania masaa matatu kabla ya Derb, na hiyo ni baada ya...
19 Reactions
82 Replies
20K Views
Habari wakuu? Kama mada inavyojieleza nimeshaandaa sh laki moja kwa ajili ya kubetia kuanzia mwezi wa nane ligi kuu za nchi mbali mbali zitakapo anza kama epl,laliga,bundas n.k kwan msimu uliopita...
4 Reactions
65 Replies
12K Views
Kuna ajenda gani kati ya Rais Samia na Vilabu vya Simba na Yanga?, Wanatumika kisiasa na kufanya kampeni kabla ya wakati Kuna namna CCM wanawatumia hawa wasemaji wa vilabu hivi pendwa nchini...
6 Reactions
31 Replies
991 Views
Nakupongeza sana Refa Ramdhani Koyoko kwa kusimamia sheria zote za mpira wa miguu kati ya Klabu ya Simba na Yanga. Timu yeyote iwe Yanga au Simba ikishindwa lazima ilalamike. Wanaokulaumu...
1 Reactions
9 Replies
736 Views
Juzi wazee wetu wameitisha Press na wameongea sana, kwa watu wasiojua ball ambapo wamekuja mjini miaka ya hivi karibuni akina Eddo Kumwembe na wachambuzi wenzako wajinga wajinga ambapo elimu zao...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Namungo FC imemtangaza rasmi Juma Ramadhan Mgunda, maarufu kama "Gurdiola Mnene," kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Mgunda anachukua nafasi ya Mwinyi Zahera, ambaye sasa atakuwa mshauri wa benchi la...
5 Reactions
10 Replies
903 Views
Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo...
3 Reactions
35 Replies
10K Views
Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa...
21 Reactions
57 Replies
12K Views
Alishinda mechi moja kati ya 15, Maritzburg ikashuka daraja, baada ya hapo akawa Msaidizi hadi kaja kuibukia huku, sisi tunajua quality yake ni ndogo, huwezi kumlinganisha na Gamondi ni ndogo mno...
3 Reactions
13 Replies
808 Views
Tangu msimu uliopita, Simba wamekuwa wakilaumu waamuzi kuwa wanaibeba Yanga na huku Mfadhili wa Yanga, Bwana GSM akibebeswa lawama zaidi. Mbali na waamuzi, pia wamekuiwa wakiilaumu TFF kuwa...
8 Reactions
10 Replies
630 Views
Diarra alifika DSM masaa 3 kabla ya mechi ya Derby "Rais alinitengenezea mazingira mazuri ya usafiri, sikuchoka na nilipata tiketi ya Business Class Nilivyotua Airport alituma mtu anifuate ili...
6 Reactions
8 Replies
771 Views
Kipigo cha bao 1-0 kwenye derby ya Kariakoo kimewaibua Wazee wa klabu ya Simba, ambao sasa wametoa siku saba kwa mawaziri ambao wanawashutuma kwa kile wanachodai kuwa ni hujuma dhidi ya klabu yao...
15 Reactions
76 Replies
14K Views
Simba Sc imeendelea kunyanyasika mbele ya Wananchi Young Africans Sc baada ya kupoteza mechi nne mfululizo ya Derby Kariakoo kwenye michuano yote. Simba Sc dhidi ya Yanga Sc kwenye michezo minne...
14 Reactions
29 Replies
4K Views
Leeds United Football Club (formerly Leeds United A.F.C.) is a professional association football club based in Leeds, West Yorkshire, England. The club was formed in 1919 following the disbanding...
5 Reactions
75 Replies
6K Views
Wakuu, Naona tunazidi kuingiza siasa kwenye michezo, mwisho timu hizi za mpira zitakuwa hazina tofauti na wasanii wanaotumiwa kutumbuiza na kuimba mapambio kwaajili ya wanasiasa. TFF kwanini...
6 Reactions
20 Replies
964 Views
Back
Top Bottom