Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Mlinda mlango wa Simba SC Aishi Manula amejumuishwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi za kuwania kufuzu CHAN 2025 baada ya kukaa nje ya kikosi hiko tangu Machi 2024 Tanzania...
0 Reactions
11 Replies
934 Views
Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya. Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu...
0 Reactions
6 Replies
366 Views
"KATI YA MPIRA NA MIMI UNAPENDA NINI"😃 Kama mwanaume mdau wa mpira inawezekana umewahi kukutana na swali kama ili kutoka kwa mwenza wako (mpenzi/mke)😀. Pia kama wewe ni mwanamke inawezekana...
0 Reactions
12 Replies
373 Views
Za ndani saana, utaribu wa mageuzi makubwa ya kimpira utaanza baada ya dirisha dogo January. Club kubwa barani afrika inameanza hatua mahsusi za kuweka base kubwa ya kimpira visiwani Zanzibar...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwa ninavyoifahamu SIMBA Huwa ikitoka ufungwa na Yanga basi ujue mechi inatofuata ni SARE au kipigo kabisa, Ili hilo lisitokee inabidi 80% ya wachezaji ambao hawakuanza mechi ya Yanga wacheze
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Simba wamepita makocha wengi bora katika mbinu, lakini wachache bora katika maelezo, either kuelezea programu zake, hali ya timu, mbinu zake au kuwasilisha jambo lolote. Japo sio sifa ya lazima...
4 Reactions
22 Replies
6K Views
Watu wengi wakisikia neno bet, moja kwa moja wanahuisha na mpira wa miguu, ni kweli wapo sawa ila betting siyo kwenye mpira wa miguu tu hata kwenye michezo kama cricket, basketball, ngumi na...
12 Reactions
56 Replies
16K Views
GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga. Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwaka huu Simba wamedhamiria kwelikweli: Simba imecheza mechi nne na tayari zote (100%) imebebwa kupata matokeo. Round 1. Simba imepangiwa mechi na timu (Tabora) ambayo haikukamilisha usajili wa...
7 Reactions
109 Replies
4K Views
Nawashauri sana viongozi wangu huyu Maroon Tchakei ni fundi hasa zaidi ya Ahoua sijui Ngoma sijui Okajepha. Huyu jana angekuwa ndio sehemu ya Simba zile faulo alizokuwa akipiga hovyo Ahoua jamaa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Waandaaji wa matamasha ya burudani na michezo mnaboa Hasa katika kutoa tuzo Mnaalika wanasiasa wasiokuwa na uelewa na masuala ya burudani ndo watoe tuzo Hawawezi hata kutaja majina ya wasanii...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
SIMBA NI YANGA B Baada ya kikosi cha Simba Sc, kuruhusu kichapo cha mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya mtani wake Yanga Sc, Afisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein...
11 Reactions
52 Replies
7K Views
Usije ukahisi labda uko Kwenye daladala za Mbagala la hasha,hapa ni Sokoine stadium Mbeya. Ccm mkoa wa Mbeya ndiyo vinini Sasa hivi mlivyotuwekea Sasa hapa .mnatuaibisha Wanyakyusa.
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Pure Talent 🔥 Mechi Nane za Ligi Kuu kaweka magoli mengi kuliko mchezaji yeyote hadi sasa kwa Msimu huu 2024-25 Muendelezo wake mbele ni wa kiwango cha juu saana na ndiye anaongoza orodha ya...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Erick Mpoki ambaye ni mtaalamu wa masuala ya nyasi za uwanjani ambao kitaalamu wanajulikana kwa jina la “Football groundsman” amesema amekuwa akifanya kazi hiyo tangu mwaka 2012 “Elimu hiyo...
5 Reactions
11 Replies
4K Views
Ona sasa kajitonesha jeraha lake,na watamkosa muda mrefu
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji...
6 Reactions
16 Replies
709 Views
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.  Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Tupeni takwimu nani amewahi kufungwa na mtaani wake mara mfululizo , au Yanga Jana kavunja rekodi. Soma Pia: Simba kufungwa mara nne mfululizo siyo dili kama tunavyoaminishwa FT: Simba 0 - 1...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom