Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa wiki nzima kaulimbiu ya wapenzi wa Klabu ya Simba "YANGA HAWATOKI SAFARI HII KWA USAJILI HUU ULIOFANYIKA" lakinI pamoja na kaulimbiu yenu Yanga wametoka na mmefungwa. Lawama zote zimuendee...
6 Reactions
15 Replies
755 Views
Huyu mchekeshaji ana mambo ya kitoto sana. Toka afungwe zile goli mbili za kizembe imani imeshashuka sana. Baada ya kufahamu kwamba ni mchekeshaji kama kina Steve Nyerere, nimegunduwa kuna muda...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa hisani ya C. Magori [emoji24][emoji23] Wazaramo walikuwa na msemo wao na kabla awajaingia katika vita ama awajaleta timbwili wanaweza kusema udugu umala ubaya ubwela. Yani udugu umala ni...
1 Reactions
4 Replies
300 Views
"....tuwe na umoja bado tunajenga timu." "....tusiruhusu amani ipotee kwani itakuwa vigumu kuirejesha." Maneno ya wana Simba.
0 Reactions
2 Replies
263 Views
“Tarehe 19 tunaenda kucheza mechi na mkubwa wetu ambae ametuzidi mwaka mmoja wa kuzaliwa na anatuzidi makombe🏆🏅 nane 8 ya ligi, hii ni mechi ambayo inabeba taswira ya soka letu la tanzania.
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Nafaham juani ulipokwenda hata watu wa serikali ndio hutumia huko mizimu ya kule ni mikali sana ila nachowashsuri simba ili tushinde hakikisha mpira wa kwanza aguse mchezaji mmoja na autoe goolkik...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuelekea mechi ya tarehe 19, timu ya Simba ina advantage kubwa sana kutokana na kuwa na idadi ndogo sana ya wachezaji walioitwa kwenye mataifa yao. Kuitwa kwa wachezaji wengi kwa upande wa Yanga...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa wanaohusika huko Simba Nawajulisha kuwa ushindi wenu Kwa mtani wenu upo Kwa Katoro. Kijana huyo tu ndie ambae hawezi fungwa Na Hao. Vinginevyo kipigo kipo palepale
1 Reactions
13 Replies
694 Views
Sitikisiki na sipigi ramli. Iko hivi, teams zote ni nzuri sana, ila ni hivi iwapo Simba ataingia fainali basi atakua bingwa iwapo atakutana na Azam FC ila Yanga akiingia fainali na Azam atapigwa...
2 Reactions
15 Replies
738 Views
I salute you kinsmen. Kwa kweli Simba ya sasa ni hatari sana mpaka wanayanga tunaogopa sana hata match yenyewe. Yaani mimi naona wazi kabisa siku hiyo matokeo hayatakuwa upande wetu kama...
6 Reactions
16 Replies
782 Views
Ateba leo watamwona live maana wamekuwa wakimsikia tu!! Simba 3 - Yanga 0, na Ateba atafunga mawili. Poleni uto!!
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Simba na viongozi wake mpaka mashabiki wao huwa hawaangalii wala kujali sanaa matokeo bali wao huangalia kama timu imecheza vizuri tu basi inatosha na ndio furaha yao wao hawajali sana kuhusu...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Salaaam toka kwa Kayoko.
0 Reactions
4 Replies
662 Views
Ni kweli Simba kafungwa mechi 4 mfululizo na kapoteza ubingwa mara 3 mfululizo lakini haiondoi ukweli kwamba muelekeo wa ni sahihi na wanakaribia kuupata ule ubora wao wa misimu minne iliyopita...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Pamoja na kupoteza mechi ya leo tumecheza vizuri tunakosa quality maeneo ya pembeni. Joshua mutale na kibu hamna kitu, ahoua bado anahitaji kuimprove game yake. Pamoja na musa camara"spiderman"...
5 Reactions
28 Replies
619 Views
Unaweza usione au kanona athali ya mkuu wa nchi kujionesha wazi yuko upande wa Yanga. Watu hawasemi wazi lakini ndio ukweli. TFF na vyombo vyake wako kumpa Furaha mkuu. Kila Mtu anataka kuwa...
1 Reactions
98 Replies
3K Views
Niliwai kusema ya kuwa Simba inaongozwa na wazee ambao Awana Tena ubunifu wa kuipeleka timu mbele bali wamebakia na mawazo ya kizamani na akili za kizamani awabadiliki kulingana na wakati bali...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
I salute you kinsmen. Huyu mwandishi kanjanja na tapeli tapeli kutoka Ghana na shabiki kindakindaki wa simba yetu aka chupi upande naona wazi kaumia sana na matokeo ya jana sanaa. Kumbuka...
1 Reactions
11 Replies
495 Views
Wakuu, Hivi ndivyo hali ilivyokuwa uwanja wa mkapa katika mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa Oktoba 19, 2024. Vyama vyote vikiamua kuchukua mabango yao kama hivi kuhamasisha mambo ya kisiasa...
1 Reactions
16 Replies
962 Views
Mara baada ya mchezo, viongozi wa Simba wakakimbilia mitandaoni kutuhadaa kwa kumtupia lawama goal keeper na Mwamuzi wa mchezo. Wamesahau kuwa yanga jana walituongoza kwa kila kitu kuanzia...
13 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom