Nimetizama kiumakini kabisa Goli la Yanga SC na sijaona na sioni kwanini Poti wangu kutoka Mkoani Mara (Musoma) Crescentius Magori umekimbilia Kumlaumu Kipa Camara. Magori ingekuwaje kama Kipa...
Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na...
Huu ni mtazamo wangu binafsi wa kile walichokifanya wachezaji wa Simba kwenye mechi ya derby
1. Mussa Camara
kosa lingine kubwa kwa golikipa tegemeo kwa mpira ambao angeweza kuupangua nje kwa...
Jamani jamani pamoja na mahela yote tunasikia yakitangazwa uwanja kufanyiwa maboresho ni sawa na hamna kitu ya ile pitch pakinyesha mvua tu maji yanatuama uwanja matope na kuteleza tunaweka afya...
Jamani naomba mnipe idadi ya makocha waliofukuzwa Simba katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Sisi mashabiki wa Simba ni wapuuzi sana hatuongei ukweli kuhusu uongozi wa Simba chini ya...
Simba baada ya kukurupuka na kumwachia nahodha wakutumainiwa John Bocco, imeendelea kuwa mnyonge kwa Yanga.
Capten fantastic hawezi kukubali unyonge wa kufungwa na Yanga Mara kwa Mara. Hata Zile...
Mnakumbuka yanga walipokimbia mechi ya saa kumi na moja basi aliendesha tuisila kisinda basi lilikua bovu lakini speed yake ilikuwa ni ya kimondo,
Wazee wa yanga wanajua mananzili muda saa kumi na...
Mtu anajiita shabiki baada ya mechi moja tu kufungwa na Yanga anataka kocha afukuzwe, wengine wanatoa povu CEO Barbara aondolewe, wengine wanataka Mangungu aachie ngazi, ngoja kwanza nicheke😁😁😁...
Mechi ya derby ya Leo Yanga tupo kama tumecheza na Namungo
Simba tumewafunga sana, yaani huu mwaka wa 4 mnakuja kwenye mechi kama under dog🐕
Derby hauvutii kabisa, Simba haina wachezaji...
Kwema wakuu
Baada ya kufanya uchambuzi wa kina nimegundua yafuatayo
Yanga inakikosi Bora sana ( Galacticos) ....hiki ni kikosi Bora sana kuwahi kuwepo hapa baraani Africa hivyo basi hakuna...
Golikipa mzuri anajua kudaka kiwango chake ni cha juu sana footwork yake pia ni nzuri ishot ni aina ya golikipa wa kisasa ila tatizo la golikipa wetu hakubali kwamba sio kila mpira unaomjia ni wa...
-Naitazama Forward Line ya Simba yenye Ateba,Kibu na Balua kisha naitazama Defense Line ya Yanga yenye Yao,Boka Job na Bacca.
Yanga wakimkosa Bacca leo akacheza Mwamnyeto namuona Ateba akienda...
1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve...
Baada ya mechi ya Azam nilisema wazi kuna wachezaji hawastahili kuchezea Simba na wengine nilisema wakalishwe kitako (Naskitika sana ushauri wangu ni kama wanautekeleza taratibu kwa kuanza na yule...
Hapo vip!!
Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu.
Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba...
Kama kocha atapanga kikosi kifuatacho leo mapema nyuma mwiko na msemaje wao ashura mayutiai wanapasuka mapema. Mfumo ni 4~2~3~1.
1. Musa camara
2. Shomari kapombe
3. Mohamedi hussen
4. che...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.