Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tayari nimechungulia, gemu inaisha 0-0. Wawekezaji, kazi kwenu! Matokeo ni baada ya dakika 90 na za nyongeza. Sisi Simba hatutakubali Yanga watufunge tena!
4 Reactions
21 Replies
523 Views
1 Aziz Ki 2.Dube 3.Mzize 4.... Endelezeni.......
1 Reactions
11 Replies
511 Views
Huwa nashangaa sana kukuta thread ile ya ushindi wa Yanga wa 5-1. Nimeona nianzishe hii thread niwe nawakumbusha kuhusiana na rekodi za vipigo vikubwa. Simba 1 5 Yanga Simba 5 Yanga 0 Simba 6...
2 Reactions
7 Replies
440 Views
Timu ya Taifa ya Tanzania vijana umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes imeendelea kusuasua kwenye mashindano ya Afcon u-20 baada ya kucheza michezo miwili na kuambulia alama 1. Baada ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Leo akimwiga Diara kupanda na timu atalia sana.
3 Reactions
5 Replies
489 Views
GAMONDI:UNAPEWA DOZI KULINGANA NA UGONJWA WAKO. ''Mechi yetu dhidi ya Simba maandalizi yetu hayana tofauti na mechi yoyote ya ligi kuu. Hii ni mechi kubwa sana kwa mashabiki na wapenzi wa soka...
10 Reactions
42 Replies
1K Views
Nakumbuka mwaka jana miezi kama hii ndio AFL ilizinduliwa na tukaambiwa hiiyo ndo itakuwa ligi kuu kubwa zaid badal ya CAF Championship CAFCC. Sas naona kimya as if hakuna lolote lile na sioni...
3 Reactions
9 Replies
444 Views
Hii kauli imebeba maana kubwa sana leo unajua kwanini unapocheza na Yanga kisha ukapata shauku sana ya kufunguka na kuwashambulia ndipo hapo unaingia kwenye mtego wao. Ukiwashambulia Yanga kisha...
3 Reactions
2 Replies
303 Views
Sifa kuu ya mechi ya karikoo derby ambayo wachambuzi wengi wameshindwa kuling'amua kabisa ( wao wanaongolea mifumo, makocha na historia ya mechi zilizopita )....Kuna kitu Cha muhimu Sana Huwa...
4 Reactions
6 Replies
388 Views
Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba 1.6-0 2.5-0 3.4-1 4.3-1 5.2-0 6.1-0 Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba...
3 Reactions
6 Replies
343 Views
" Yanga wameshinda ligi mara tatu mfululizo na wapo pamoja kwa takribani misimu mitatu sasa tunawaheshimu na tunatambua ubora wao ... tumeandaa mchezo wetu kwa kuwaangalia na inatakiwa tuzingatie...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Licha ya Makocha na Wachezaji wa Pande Pande mbili kueleza juu y maandalizi ya Mchezo wao wa leo kwangu binafsi sioni Ushindi wa Klabu us Simba kutokana na aina ya kikosi na maandalizi ya Mchezo...
3 Reactions
3 Replies
234 Views
Mechi ya 4 mfululizo. Admin usifute uzi, next time wapelekeng'ombe wenzao wametumia madume 5 ya ng'ombe, wao wametumia kondoo 2 na mbuzi 1. Vilio vimetawala, kesho wakubwa hawaji. Usiku mwema...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama mnayakumbuka yale mashindano ya AFL ,yaliofanyika msimu uliopita apa na yalizinduliwa hapa hapa Tanzania kwa mechi kati ya Simba sc dhidi ya Al ahly sc na mchezo kutamatika kwa sare ya goli...
1 Reactions
7 Replies
482 Views
Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga. Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana...
4 Reactions
55 Replies
1K Views
- Historia inaonesha kwamba mara nyingi Simba wakiingia kwenye Derby na Mbwembwe huwa wanapoteza mchezo au kutoka sare. Mara kadhaa Simba wakiingia kama second team huwa wanashinda, ndio maana...
4 Reactions
16 Replies
662 Views
Kwa maslahi mapana ya utani wa jadi, itapendeza Simba wakishinda. Kwa miaka mingi, watani hawa wamekuwa na matokeo yanayokaribiana, timu moja haikukubali kuwa mteja kwa awamu tatu kama ilivyo...
1 Reactions
4 Replies
346 Views
Safari ya Nyasa hiyo unaambiwa Mzee Mpili anaenda kufanya jambo huko, Kesho kazi ipo😁🙌 Vipi mambo yatalipa kwa timu ya wananchi Yanga mbele ya watani zao Simba? Tusubiri tuone bandugu. Soma Pia...
1 Reactions
4 Replies
472 Views
Mechi ya tarehe 19 Ambayo itaikutanisha miamba ya Kariakoo yaani Simba na Yanga Mechi imechezwa na imemalizika tayari ampabo Yanga amefunga magoli matatu ya Prince Dube dk ya 17, Azizi ki dk 39...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom