Habari ndugu zangu kutokana na matokeo mabovu ya Taifa Stars inaenekana dini kubwa Tanzania tunashindwa kupambania taifa kwenye michezo hasa football.
Vilabu vya kariakoo vimejaza dini moja...
Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku
Pia...
Ila waarabu. Nimewavulia kofia. Nigeria wameona cha mtema kuni humo Libya baada ya kukarishwa airport kwa masaa 16 bila huduma yoyote. Wakiwa wamefungiwa. Hakuna hata WIFI.
Hii ni zile harakati...
Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA.
Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za...
MH GAMONDI
AMESEMA SIMBA ITAFUNGWA KUTOKANA NA SHAUKU YAO
KAMA WANATAMAN MAGOLI MENGI WATAPEWA WANACHOTAKA
▶️MIGUEL GAMOND ATOA NENO KUELEKEA DERBY
.
🗨️''Mechi yetu dhidi ya Simba maandalizi...
siku ya jumamosi ndiye namuona kama mchezaji hatari kwa Simba SC kutokana na ubora wake ndani ya uwanja, Maxi kama yupo fiti lazima atakupa mechi bora sana kuanzia nguvu hata kasi na ufanisi...
Beki wa kati wa klabu ya Simba SC , Abdulrazack Hamza bado hajafanya mazoezi na klabu yake tangu alipopata majeraha ya njama za paja akiwa timu ya taifa ( Taifa Stars )
Taarifa zinaeleza kuwa...
Hapa ndio simba wanafeli
Na hapa ndipo viongoz wanapiga hela
Wenzenu wanapiga misumari kina ateba na wenzie
Amjiuulizi kila mechi mnajadili hivi ndio hiyu kweli wa u tube
Watu wanamalizaba na...
Wakuu,
Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?:KEKLaugh:
Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho?
Mimi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametangaza rasmi kuwa timu ya Coastal Union ya Tanga, maarufu kama "Wagosi wa Kaya," sasa itaanza kutumia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kama uwanja wake wa...
Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.
Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja...
Kutoka kushoto ni Suleiman Nyambui, Luis Posso(Posso International Promotions) , Mao Hando , Zakarie Barie , Yuich Isaka (Asics) na Mwanariadha Gabriel Gerald Geay.
Kampuni ya Posso...
Hatimaye plan ya Nabi kumleta Kaze ndani ya Kaizer Chiefs imetimia. Unaweza kusema colabo yao ndani ya Yanga katika misimu miwili yenye mafanikio imeifanya Kaizer nao kuwapa nafasi ya kufanya kazi...
“Yanga SC wamekuwa bora zaidi ya Simba SC hawawafungi wapinzani kwa bahati mbaya. This time Simba SC wataingia kutaka kuondoa uteja na uwezo huo wanao. Katika mechi 13 zilizopita Simba SC kashinda...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.