Kupitia kwenye mtandao wa Instagram Manchester United Foundation wameandika na kuweka na picha wakionyesha wapo watu kadhaa akiwemo CEO John Shiels wakiwa wapo kileleni kabisa mlima wa...
Jf,
Salaam!
Huwa tunasema sana siasa - lkn leo tuseme sana mpira. Sijafahamu hitaji la wachezaji wa kitanzania - sijafahamu hitaji la kocha wa timu yetu ya taifa.
* How come mchezaji wa...
Mwenye macho haambiwi tazama Leo Taifa kwa ujumla wamepata aibu yaani kwenye mechi ya Taifa starz VS DR Congo.
Mashabiki wa congo wengi kuliko mashabiki wa Taifa Starz ndani ya uwanja wa nyumbani...
Mechi ya watani wa jadi huwa ni mechi ya wakubwa inaheshima yake na kwa ukubwa ulele huwa autabiriki. Matokeo yanapatikanaga baada ya filimbi ya mwisho ndiyo inajulikana nani ameshinda.
Lakini...
Wazee Leo nimebishana na mtu umu in comments anadai ZIDANE was talented than MESSI nikiangalia hoja zake nikimuwekea statistics anakataa individuals achievements pia anazikataa nikimuuza kipaji...
Leo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco.
Mechi hii itachezwa saa 10:00...
Huwa ninaona kwenye mechi za caf mabingwa na shirikisho kuna zawadi ya pesa taslim kwa kila goli linalofungwa kwa timu kama Yanga, Simba, Azam, n.k.
Kwenye mechi za taifa stars hio zawadi ipo...
Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC...
Baada ya kufuatilia nimegundua kwamba wengi hawajafurahishwa na kipigo, lakini pia hawajahuzunishwa.
Kauli zao hazionyeshi kama wamehuzunishwa, Wengi wanasema timu yao ni Timu ya Serikali au ni...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anatajwa na vyanzo mbalimbali kuwa yupo kwenye listi ya makocha wanaowaniwa na Chama cha Soka cha England (FA) kuinoa timu ya Taifa hilo.
Uamuzi huo...
Tumeshuhudia timu kubwa barani Afrika kama Al ahly, Wydad AC nk. zikiwatoza faini wachezaji wake na wengine kunyimwa mishahara pindi wanapofanya vibaya hususan katika michezo ambayo ilikuwa ndani...
Shirikisho la Soka la Lipya (LFF) limekosoa kitendo cha Nigeria kugomea kucheza mchezo dhidi ya Taifa hilo katika Kuwania Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 uliopangwa kuchezwa Jijini...
Yaani nchi imekaa kimchongo Sana hii
Tukishinda Nani Kama Mama
Tukifungwa tatizo Samata
Tukifungwa Mara mzinze sijui kafanyaje!!
Sometime Bora tubondwe tu!!
Kichwa cha habari kinajieleza, team ni ball papwatu papara papatu. Mbele haichezi katikati hainyumbuliki nyuma inqyumba na pembeni haijai.
Yaani bora liende na kubaki kubahatisha tu magori na...
Leo timu ya taifa ( taifa stars) imenyolewa kwa chupa mbele ya watanzania pamoja na hamasa iliyokua uwanjani na mitandaoni
Binafsi siamini katika hamasa kuliko kujishuhulisha.
Imewezekanaje...
Katika hali isiyo ya kawaida, Jamii imeaminishwa kuwa kama Yanga atashinda mchezo wa Jmosi dhidi ya Simba basi itakuwa ni mara ya kwanza kwa hawa Watani mmoja kufungwa mara 4 mfululizo.
Lakini...
Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa.
Hii ina faida kubwa sana kwa...
Nimeangalia clip Hadi nmeshangaa Zidane anagaragazwa kama mtoto na Inesta sasa izo sifa mnazompaga ZIDANE Huwa zinatoka wapi?
Sio Kila Cha kale ni dhahabu
Wachezaji wa Tanzania hawana Uzalendo na Timu yao ya Taifa, wanapenda vilabu vyao zaidi na kimsingi wanapenda pale wanapolipwa zaidi.
Sijui wakiwa timu ya Taifa huwa wanalipwa sh ngapi, lakini ni...
Timu ya Taifa Leo imepokea kipigo.
Hii timu tatizo kubwa ni benchi la ufundi.
Hao wenye dhamana ya kuajiri benchi la ufundi inawezekana nao hawana huo utaalamu wa kuajiri.
Huwa wanaweweseka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.