🇩🇪 Mesut Özil career stats 🌟
🏟 696 Games
⚽️ 120 Goals
🎯 258 assists
🤝 378 goal contributions
🏆 1x World Cup
🏆 1x Euro U-21
🏆 1x Laliga
🏆 1x Copa del Rey
🏆 1x SuperCopa de España
🏆 4x FA Cup
🏆 2x...
Timu ya Taifa ya Nigeria “Super Eagles” imesema haitacheza mchezo wake dhidi ya Libya kuwania, leo Jumanne Oktoba 15, 2024 baada ya msafara wa Wachezaji wao kutelekezwa Uwanja wa Ndege usiku mzima...
Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi?
tumerogwa?
Najua tunapenda sana kudanganyana lakini leo inanibidi niseme tu ukweli nafasi ya Stars kufuzu kwenda Morocco AFCON hapo mwakani ni finyu kwa kifupi haipo maana game zilizobaki yenye nafuu kwetu...
Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
Mwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo...
Nimelazimika kukatisha usingizi Bada tu ya kuamka usingizi ukakata ghafla toka saa tano usk had mida hii niko macho kodo
Basi nikajipitisha katika mitandao hasa huu na x mitandao yangu pendwa kwa...
Beki wa zamani wa Manchester City Benjamin Mendy anasema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wakati huo Raheem Sterling, Bernardo Silva na Riyad Mahrez wakati klabu hiyo ilipoacha kumlipa baada...
Napenda kuandika ujumbe uu wa wazi kwa wanchezaji watakao ingia uwanjani leo dhidi ya DRC congo,
Ni ukweli usiopingika kama kongo hatuwawezi sio kwa mchezaji mmoja mmoja au kwa team play. Ila...
Picha linaanza waliwatelekeza wachezaji wa timu ya taifa ya Libya kwa masaa 8 airport mechi ya Nigeria vs Libya (first leg )
Second leg game ilitakiwa ipigwe Libya Nigeria ikasafiri kufika...
Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie...
I salute you kinsmen.
Binafsi nimeanza kufuatilia soka la ulaya muda kidogo Liverpool die hard fans.
Lakini tuseme ukweli ligi za ulaya kwa sasa uwezo wa wachezaji umekuwa mdogo sana na hakuna...
Mara zote kampuni na asasi za Betting industry zimetakiwa kuwakumbusha wateja kubeti kistaarabu , hii nikutokana na ukweli kuwa betting inasabaisha matatizo ya Afya ya akili Kama msongo na...
Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mh. Rebecca Nsemwa, amezindua Bonanza la Michezo wilayani humo, lililoshirikisha michezo mbalimbali ikiwemo timu nne za mpira wa miguu, kuvuta kamba, mbio fupi, kuruka na...
Nimesikitishwa na kuona mahojiano ya mchezaji wa Simba anayetamba eti ni lazima aifunge Yanga na kwamba haamgalii mabeki walio nao.
Jambo hili linasikitisha sana ukizingatia kuwa hizi ni tabia za...
Shalom Shalom vijana kwa wazee, mabibi na mabwana. Amani iwe nanyi.
Nina swali fupi ila muhimu ningependa kupata mwongozo wa kisheria kwa wale wenye ufahamu wa jambo hili.
Chukulia umeshinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.