kutokana na kuangalia wachezaji waliotwa KIKOSI kikianza ivi kitamshangaza mkongo
1. YONA AMOS - anajiamini japo Kuna goal mechi na Yanga kama aliamua tu kujishushia heshima
2. LUSAJO MWAIKENDA-...
Hawa Botswana wamekubuhu kwenye mbinu za nje ya uwanja, wanakufunga kwako kama umesinzia vile. Sijui wameimport product ya wapi inayowabeba kiasi hiki siku hizi.
Jwaneng Galaxy alimpiga Wydad...
As Zambia’s Chipolopolo gear up for a crucial Africa Cup of Nations (AFCON) qualifier match against Chad, head coach Avram Grant has put his faith not only in his squad but in the power of the...
#MnyamaTBT | 🦁🦁
Aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume akitoa hotuba katika ufunguzi wa jengo la Simba lilipo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Julai...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimekutana bila kutarajia na huyu Mzee aliyeshiba siku na uso uliojaa hekima hapa maeneo ya mwandiga tukipata chai mida ya saa tatu hivi asubuhi ya leo.
Namsikia Mzee...
Nasikiliza redio moja nashangaa sana wachambuzi wa kuheshimika hawajui madhara ya wanayoongea. Eti wachezaji wa kigeni wapungue. Wapungue waende wapi? Bila wa kigeni leo hii ligi yetu isingekuwa...
The West Indies women’s cricket team took a significant step toward the semi-finals with a crucial victory over Bangladesh women. This highly anticipated encounter was marked by standout...
Ninaipenda sana hii system ya ukimya wa Yanga, huwa hawaongei wala kujimwambafy linapokuja suala la michezo mikubwa, hauwezi kumkuta Max akizungumza na waandishi au Job akiwa busy na camera, labda...
Hivi taasisi muhimu na nyeti, inaachaje kutoa salamu za pongezi kwa kiongozi mkuu mstaafu? Tena mwanamichezo na mtu muhimu kwenye soka la Tanzania?
Bado haitoshi, Rais wa shirikisho la vilabu...
Joto la Dabi ya Kariakoo linazidi kupanda, huku mchezaji Jonas Mkude, anayejulikana kwa kucheza mechi nyingi za Dabi hiyo, amesisitiza ukubwa wa mchezo huo katika maisha yake ya soka. Mkude...
Mshambuliaji wa Wolfsburg Kevin Behrens amesimamishwa na klabu yake baada ya kukataa kusaini jezi yenye rangi ya upinde wa mvua.
Pia alitumia maneno ya dharau kueleza kuwa hatasaini jezi hiyo.
Taifa Stars ndiko waliko watanzania wetu kuliko vilabu ambavyo vimejaa wageni wengi. Taifa Stars ni moja kati ya tunu zetu za taifa, mnasubiri nini kuongelea na kuhamasisha watu kuijua na kuipenda...
Leonel Ateba kitu pekee anachokikosa Tanzania ni chakula cha Okok ambacho ni mchanganyiko wa mboga za majani zilizosagwa zinazoliwa na mihogo.
Hii Ilimlazimu kutafuta chakula mbadala cha...
Haya yafuatayo ni mambo niliyo yaona Kwa mbele mwisho wa msimu huu katika soka itakavyokuws(FORESIGHT)
1. ARSENAL ACHAGUE KATI YA UEFA AU EPL.
kitu Cha kwanza baada ya kuona uchezaji wao na...
Hapo vip!
Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa...
Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, Eng.Hersi Said amealikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya [ECA], unaofanyika katika Mji wa Athen, Ugiriki.
Hersi amepata Mwaliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.