Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Yanga mjiandae sana kupimwa umri na Kipre kijana kashakuwa na roho ya kiarabu
4 Reactions
2 Replies
790 Views
Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika. Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga...
18 Reactions
1K Replies
70K Views
Kipa wa Mamelod Sundowns Rollen William aongoza kwenye kura za mashabiki tuzo za Ballon D'or mwaka 2024 Upande wa Makipa akiwa na asilimia 55.9% akifatiwa na kipa wa Madrid A.Lounine akiwa na...
1 Reactions
11 Replies
831 Views
Mabingwa wa kutandaza kandanda safi barani Afrika, kandanda lilioenda shule, kandanda lenye viwango vya UEFA hapa nawazungumzia Young Africans leo wanashuka dimbani huko Lubumbashi nchini Kongo...
11 Reactions
372 Replies
22K Views
"Matokeo haya ya Simba dhidi ya Coastal Union yanaifanya derby ya tarehe 19 kuwa ngumu sana, kama Simba wanahitaji chochote kitu msimu huu basi wanatakiwa kushinda mechi hiyo….lakini kama...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Majina ya wachezaji wa zamani na sasa.Je walichezea timu gani na wako wapi kwa sasa? Moderator naomba uzi huu usiuhamishie kule kwenye michezo kwanza nimeona niuweke ukurasa huu unaosomwa na...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United Omar Berrada anasema kocha Erik ten Hag anaungwa mkono kikamilifu na klabu hiyo na ana amini kuwa ndiye kocha atakayewapa mafanikio ya muda mrefu...
2 Reactions
7 Replies
529 Views
Ndg FILBERT BAYI ndiye Katibu Mkuu wa sasa wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, tangu achaguliwe kushika wadhifa huo ametumia nafasi yake katika KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA kupata zabuni zote, mikataba...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
"Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kutufikisha wote hapa na kwa niaba ya Wanasimba wote naomba kumpongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu kwa uongozi wake bora na mchango wake mkubwa wa...
4 Reactions
14 Replies
792 Views
Bado mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama shida ni kocha, TEN HAG anaweza kuwa kuwa sehemu ndogo sana ya tatizo lililopo Old Trafford kwa sasa! David Moyes kapita hapo na alitoka Everton akiwa...
3 Reactions
16 Replies
877 Views
Za ndaaani kabisa, uwanja wa Kizimkazi utaweza kubeba mashabiki 20,000 walioketi pindi utakapokamilika. Maendeleo hayana chama
0 Reactions
9 Replies
834 Views
Klabu Ya Yanga SC imeendelea kuzungumza kwa namna tofauti katika ushiriki wake wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Hii inatokea kwa sababu ya ushindani wake ambao wameuonyesha katika misimu miwili...
6 Reactions
4 Replies
645 Views
Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna Mambo naendelea kujifunza nani alikuwa anamjua tajiri Adam Bairu alyewahi kuifadhili au kuisaport Yanga Africans. (FC)?
1 Reactions
8 Replies
619 Views
Kuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo...
15 Reactions
90 Replies
28K Views
Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) watembelea na kufanya ukaguzi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 5, 2024. Viongozi hao wapo nchini kwa takriban siku mbili kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
379 Views
Hakuna mtu aliyetarajia Simba kujitafuta kiasi kile katika mechi dhidi ya Coastal Union wagosi wa kaya. Kwa tunaoona kwa jicho la tatu,tunaona uwekezaji wa yanga nje ya uwanja ni mkubwa mno kiasi...
3 Reactions
10 Replies
612 Views
Back
Top Bottom