Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema ameshangazwa na uamuzi wa Kylian Mbappe kuomba kupumzishwa katika Timu ya Taifa ili awe fiti baada ya kupona majeraha lakini mchezaji...
Salaam wakuu
Leo tulejee sakata tarehe 9/8/2022 la Simba kutumia Jeneza kwenye maadhimisho ya Simba day
Nini maana ya Jeneza
Kiroho maana yake ni kifo/ uangamizo/ umauti
So kitendo cha uongozi...
Kwa hili vibe na shangwe kubwa analopewa hapa muwekezaji wa Simba ndugu Mo basi wanasimba naamini wako tayari kumpa hii team mazima
Sasa Mangungu anamtambulisha mkuu wa wilaya ya ilala...
Tusithubutu tena kuwafananisha Diara na Camara tena
Diara ni mlinda lango yaani goal keeper ni anajua muda Gani atoke na muda wa kuwa langoni
Foot work yake Iko juu
Ni vigimu kumwona Diara...
Hawa ni changamoto sana.
Timu ikishinda goli chache inatupiwa lawama kuwa kiwango kimeshuka.
Timu ikishinda goli nyingi wale wa upinzani wanasema timu iliyoshinda imenunua mechi na wachezaji...
Napata sana mashaka na hili jambo. Iko hivi siku zote inajulikana uwanja wa mazoezi wa Yanga ni Avic town huko ndo kuna kambi yao na mazoezi yao.
Lakini baada ya msimu kuanza na simba kua na...
Huyu kocha ni mtu wa hatari sana, katika vitu nafurahishwa navyo ni pale ninapoona 5imba hawana mpango naye, Ila katika makocha wajuzi na hatari hususan kwa Ligi yetu ni Juma Mgunda a.k.a Mzee wa...
Sielewi Hawa viongozi wa Simba wanakuwa wanafikiria nini vichwani mwao lakini nahisi pale Simba bado Kuna viongozi wapigaji sana!
Uyu jamaa anayetaka kusajiliwa Kama mshambuliaji ni mzigo...
1.Mussa Camara
Siku mbaya kazini ngumu kumtenga na lawama za goli la 2 la coastal union pengine itampa funzo flani 4/10
2.Shomari Kapombe
Perfomance nzuri kwake hakuwa na baya kubwa ingawa goli...
weKUNDU wa msimbazi walianza
4-0
3-0
2-0
1-0
2-2(droo)
Inayofuata ni tarehe 19 sijui nini kitatokea sasa[emoji23]
Je derby itakuaje[emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
Sent from my TECNO KG5j...
FADLU:MLIKUWA MMEZIDISHA SIFA.
.
"Sare hii ni motisha sahihi sana kwa Wachezaji wangu kuelekea Derby!tumeku tukisifiwa na mapambio mengi kwenye vyombo vya habari na huwa nasema sisi bado hatupo...
Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka,
Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu.
Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi...
Hii haitozihusu zile penati zinazopatikana kwa beki kuunawa mpira ndani ya 18.Iwapo Mchezaji kapambana na kusababisha penati alafu hapewi fursa ya kupiga yeye basi walau ahesabiwe kama ame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.