Mambo 15 ya kuwashauri viongozi wa Simba
1. Mikakati ya Yanga ni migumu nyie kuijua hivyo Yanga anaweza kubeba ndoo miaka 10 mfululizo
2. Msitumie neno Ubaya Ubwela vibaya coz mwisho wa msimu...
Huku Africa mpaka leo kuna watu bado wanazaliwa nyumbani,Africa nchi nyingi hazina database ya raia wake.
Elly Mpanzu kuwa na miaka 22 !!!!. Mpanzu kama kazaliwa 2002 mimi nilishamaliza form...
Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️.
Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya...
Kwa soka la kisasa Half-Space ni sehemu vital sana kwenye kutengeneza na kufunga magoli...
Bahati mbaya sana hizo sehemu ndo tuna Kibu na Mutale. Unaweza kufurahia hivyo vigoli vyao vya...
Kifungo cha miaka minne cha Paul Pogba kutojihusisha na soka baada ya kudaiwa kutumia dawa za kusisimua misuli kinyume na taratibu za soka, kimepunguzwa hadi miezi 18 baada ya kufanikiwa kukata...
Nilikua napita Twitter nikakutana na Clip ya shabiki mmoja wa Simba yule Tomboy wa Rasta anasema Kauli ya Ally Kamwe ichunguzwe ety kwanini alisema vile Kwa kujiamini na kweli imetokea.😂😂😂😂
Ally...
Watu walianza kushangilia ushindi wa goli nyingi Kwa kucheza na wagonjwa yaani team ya Fountain gate na Tabora United ambao wachezaji wao walikuwa hawajakamilisha vibali mkawapiga mkataba mpaka...
Mchambuzi nguli kabisa wa boli kutoka Clouds FM ameshangaa kwanini mshambuliaji namba 1 wa Pamba kuanzia benchi licha ya kuanza mechi zote za awali.
Soma Pia: FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC...
I will be short
Marefa wanakuja na matokeo yao kutoka nyumbani, every match ni same story, ukimtoa Alajiga, wengine wote wezi tu.
Karia kazuia VAR eti watu wajifunze kwanza, in reality anataka...
1. Kocha Fahdu na Jean Charles Ahoua ndio walioiua Simba leo, Ahoua yuko slow, mchoyo na hajui kupiga faulo, kila nikitoa maoni mnatukana leo mmeona
2. Jean Charles Ahoua kama ndio MVP ligi ya...
Huu ndio upuuzi wa viongozi wa Simba, timu ikifanya vibaya wanaefukuzwa ni kocha mkuu, kocha wa makipa na kocha wa utimamu wa mwili.
Dunia kote hakuna kocha msaidizi wa kudumu, shida ya Simba ipo...
🟢[emoji367] " Yanga wanalipa gharama kubwa za kuwa kwenye UBORA.
Akishinda goli chache lazima kuwe na mjadala kwakuwa watu hawajazoea hivyo.
Akishinda nyingi lazima pia watu watazame...
Yani mwenzenu ni mesuka mkeka Multbet yangu safi timu sita Arsenal vs Psg nikampa Arsenal, Barcelona vs Young boys nikampa Barcelona, inter Milan nikampa kushinda Leverkusen naye nikampa kushinda...
Simba na Yanga ni vilabu vikongwe na vikubwa si Africa Mashariki tu bali Afrika kwa ujumla.
Yanga na Simba zina historia kubwa pengine kuliko vilabu vingi Africa, historia zao zimejengwa katika...
Huyu kocha Juma Mgunda ameitendea mengi timu yetu lakini huwa tunamtreat vibaya mno. Juzikati tumemfukuza kazi, na leo ameanza makeke. Tukienda mkwakwani tunakula 2-0.
Hongera sana Camara, kipa...
Timu zote kuanzia Yanga, Dodoma, Coastal, Namungo, Pamba, Singida, Tanzania Prisons nao sijui wapo katika udhamini kila zinapocheza na Simba ngoma inakuwa ngumu sana.
Hawa Coastal wachovu nao...
Julien yupo Asec toka 2017. Kila mwaka anauza nyota wote lakini msimu unaofata anakiwasha kimataifa.
Kajaza nyota kibao ulaya na Africa. Tunaenda kuchukua kocha mshusha viwango.
Aliishusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.