Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Youssouph Dabo ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa AS Vita Club, klabu maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Dabo anachukua nafasi hii baada ya kuachishwa kazi na Azam FC, ambapo...
1 Reactions
8 Replies
705 Views
Mtanange huu unapigwa kmc complex na uwanja unaonekana umependeza mashabiki wa kutosha mda si mrefu game inaanza Kwa Sasa napata uchambuzi uliotukuka kutoka kwa salama ngale(nguli) Itabidi nione...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani...
5 Reactions
9 Replies
561 Views
Video hii inamuonyesha Kocha mpya wa Simba Queens akimpa maelekezo fulani hivi kocha Mussa Mgosi amabye alikuwa kwenye bechi la ufundi katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati yao na Yanga Princess...
1 Reactions
16 Replies
945 Views
Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT), Samuel Eto'o (43), amepigwa marufuku kuhudhuria mechi zozote za kimataifa zinazohusisha nchi hiyo kwa miezi 6, baada ya uamuzi wa kamati ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kocha Yanga SC Miguel Gamondi amejibu maswali wanaohoji wachezaji wa Yanga Stephane Aziz ki na Khalid Aucho kuwa na kiwango cha chini kwenye mchezo dhidi ya KMC Azam Complex. Chanzo Taarifa...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Eti kwa vile wana mapenzi na Yanga na Yanga wanacheza na Pamba basi wamejiweka pembeni kwanza hadi gemu iishe.Aisee Kwahiyo wachezaji wote nao wakisema wana mahaba na Yanga mtawalazimisha wacheze...
2 Reactions
16 Replies
975 Views
Wojciech Szczęsny, mlinda lango wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Poland, amesajiliwa rasmi na FC Barcelona. Barcelona ilimchukua Szczęsny kama suluhisho la dharura baada ya Marc-André ter...
2 Reactions
6 Replies
435 Views
Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake. Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na...
2 Reactions
11 Replies
736 Views
Hapo vip!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Tabiri matokeo
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Manake nakumbuka pia Baba yake Mwanae alipoachwa alifura kweli kweli utadhani Tanzania Mchezaji ni Mwanae tu.
2 Reactions
6 Replies
572 Views
Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka. labda kuna mashabiki watakua...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Kiungo wa Manchester City, Matheus Nunes anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kukwapua simu ya shabiki ambaye alitaka kumpiga picha wakati alipokuwa msalani kwenye ukumbi wa starehe usiku. Licha ya...
0 Reactions
1 Replies
612 Views
Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison Tatizo ni Nini...
4 Reactions
34 Replies
838 Views
I will be short. tulisema tutaelewana tu with time, juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika. leo kuna game ya community shield VAR iko wapi? incompetence tu...
0 Reactions
1 Replies
251 Views
Kikosi cha Timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024. Pia soma: ~ Samatta, Msuva watupwa...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
BUDGET YA VAR BUNGE LIMEPITISHA✅ PESA WAMEPIGA, VAR AMNA , TUTAELEWANA TU NA KARIA
3 Reactions
7 Replies
514 Views
Waamuzi wana makosa mengi sana Kuna muda unaweza hisi kuna maelekezo kutoka sehemu Ligi yetu imekua makosa ya kibinadamu yamekuwa mengi sana, VAR ni muhimu
2 Reactions
23 Replies
704 Views
Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti. Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake. Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa) Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba...
10 Reactions
63 Replies
2K Views
Back
Top Bottom