Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Katika uamuzi wa hivi karibuni kutoka kwa Mahakama ya Usuluhishi wa Migogoro ya FIFA (FIFA Dispute Resolution Chamber), Yanga SC, moja ya klabu maarufu za mpira wa miguu nchini Tanzania, imetakiwa...
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Wakuu, Leo VAR imeanza kutumika huko Mauritania kwenye ligi yao Sisi huku licha ya uzinduzi kufanyika na ligi kuanza TFF wanasingizia vibali kutoka CAF na FIFA. Huu ni utapeli wa mchana kweupe...
4 Reactions
11 Replies
567 Views
1. Kocha Fahdu anatakiwa aaambiwe ugumu wa mechi za mikoani otherwise atadondosha sana pointi ugenini hasa kule Mbeya, Kagera, Singida na Kigoma. 2. Fahdu amezidiwa kabisa kimbinu leo na Dodoma...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari ya wakati huu wanaJf, kama title ya uzi inavyojieleza shuka nao. Chess ni moja ya michezo ya zamani zaidi na ya kimkakati duniani, yenye historia ndefu inayorudi nyuma zaidi hadi karne ya...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Sina mengi sana ila habari zimeshavuja. Mnapenda sana uzawa kwenye timu,hamzingatii uwezo wa mchezaji na kuwakandia wachezaji wa kigeni kuwa si lolote na niwapita njia tuu. Mnaigawa timu kwa...
2 Reactions
11 Replies
695 Views
Nimeshuhudia mechi 2 ambazo Simba kacheza dhidi ya Azam na Dodoma Jiji, wamenufaika na waamuzi ambao uwezi kusema kwamba awajui Sheria na kanuni zinazoongoza Mpira la hasha ni kwamba wanajua...
0 Reactions
8 Replies
401 Views
Cristiano Ronaldo alisilimu na sababu ni ya kushangaza Hadithi Utangulizi: Hakuna mtu angetarajia kwamba mmoja wa wachezaji wakubwa wa mpira wa miguu katika historia, Cristiano Ronaldo, siku moja...
11 Reactions
75 Replies
3K Views
Hadi sasa kwa nini wengine wakifunga goli moja wanapostiwa vizuri mitandaoni sisi wanaishia kusema "kimoko" Yaani hata Azam media nao wanatuhoji maswali magumu kuliko ya wenzetu. Yanga haisemwi...
0 Reactions
5 Replies
447 Views
Any way, baada ya mechi ya simba na azam fc. na mechi fountain gate kupanga matokeo. Bodi ya ligi imetoa Mkwala, wadau wa club tusiwaseme WAHAMUZI wala viongozi kwa media au social media. In...
0 Reactions
48 Replies
2K Views
Leo mchezaji Bora wa mechi Kati ya Simba na Dodoma jini ametangazwa kabla ya mpira kumalizika!! Binafsi naona kama wanaingia na jina mfukoni...utamtangazaje mchezaji kabla ya mpira kumalizika...
3 Reactions
22 Replies
901 Views
Habar za uzima wana JF Tarehe 7/10/ 2024 mwaka huu katika mji wa CAIRO ambapo ndipo yalipo makao makuu ya CAF tunatarajia kushuhudia droo ya kupangwa kwa makundi ya mashindano ya cafcl & cafcc...
1 Reactions
10 Replies
570 Views
Tatizo c kwamba yanga imeshuka kiwango, tatizo ninkuwa nchi yetu imeharibika na Sasa umeingia kwenye uchumi wa Kamali , ambapo vijana wengi sana wenye ajira na wasio na ajira wameingia kwenye...
2 Reactions
5 Replies
364 Views
Another game, Mzunguko wa Nne. Dodoma Jiji wanaikaribisha Simba SC ya Dar es sala Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma. Kikosi cha Dodoma Jiji Kinachoanza. Kikosi cha Simba Kitakachoanza...
10 Reactions
444 Replies
14K Views
NBCPremierLeague ️ KMC SC Vs Yanga SC 17.02.2024 Jamhuri Morogoro 10:00 jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya KMC FC Mpira umeanza dakika ya 1 Mudathir anaipatia Yanga SC goli la kwanza Goli...
4 Reactions
202 Replies
12K Views
Match Day Mashujaa Fc 🆚 Azam Fc 🏆 #NBCPremierLeague 🕓 Saa 10:15 Jioni 🗓️ 29.09.2024 🏟️ Lake Tanganyika Nb: Tutawakumbusha kazi wanayoweza kuifanya tofauti na kabumbu🍦🦍 Mashujaa ndio sisi...
5 Reactions
128 Replies
4K Views
All the Best Mnyama 🦁 Updates za Mchezo wa Leo.. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Updates... Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo. Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora DK 5'...
7 Reactions
303 Replies
10K Views
Nikikumbuka zile mbio za top scorer kati Yao na kilichopo Sasa basi nakuombea mpole arejee kwenye kile kiwango huku nikijiuliza ni Nini kimetokea Maana hajazeeka na Wala kunenepa yuko vile vile
2 Reactions
8 Replies
519 Views
Singida Black Stars Leo imejikuta ikiangusha points 2 Muhimu mbele ya JKT Tanzania katika mbio zake za kubakia kileleni. Matokeo Haya yanatoa unafuu Kwa Washindani Wake iwapo wataendelea kufanya...
1 Reactions
7 Replies
592 Views
Naanza na Said Bahanuzi, Salim Ayee. Endelea na orodha…
3 Reactions
64 Replies
2K Views
1. Michael Carrick Matches – 1, Wins – 1, Draw – 0, Loses – 0, Win % - 100 2. Jose Mourinho Matches – 29, Wins – 18, Draws – 6, Losses 10, Win % - 62 3. Ole Gunnar Solskjaer Matches – 35...
0 Reactions
3 Replies
385 Views
Back
Top Bottom