KOCHA AZAM: MAGOLI YOTE YALIKUWA OFF-SIDE.
.
“Tunahitaji VAR magoli yote mawili ni offside za wazi , Simba ni timu kubwa hilo hatukatai niwapongeze wachezaji wangu lakini kwanini offside ni kwetu...
[emoji2788] @magunga_tz "Tunasema @yangasc ameshuka kiwango ukimlanginisha na wapinzani wa aina gani? kwasababu mpaka sasa kwa wapinzani aliokukutana nao kwenye ligi yeye amekuwa bora kuliko wao...
Timu za JKU na UHAMIAJI ni timu za Zanzibar kindaki ndaki kuliko Yanga. Hatukuelezwa kwanini JKU na UHAMIAJI hawakutaka mechi zao za mashindano ya CAF wachezee Zanzibar, lakini Yanga wanataka...
Anyway Jana osasuna kaonesha panapovuja japo Kila mtu analia na Torres ila mi nasema wote wamefungwa
4 goals sio joke hapa nangoja Leo atletico azingue tuanze kupumulia unyayo wa mtu
Uongozi wa Yanga umethibitisha Kiungo mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah, hatakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao 2024-2025. Nyota huyo alitua Young Africans Januari 2024 akitokea...
Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo.
Aibu nyingine tena kwa ligi...
Hongera tumu ya Azam kwa kudhamiria kukomesha bahasha na wale wote wanaodhamiria kuvuruga mpira wa Tanzania. Ni matendo yanayopaswa kukemewa na mtanzania yeyote mzalendo na mpenda soka. Azam...
Kuna hii vita nyingine inaendelea kimya kimya kati ya beki wa kulia wa Simba Kevin Kijili na beki wa kushoto wa Yanga Chadrack Boka. Ni vita ya mchezaji mwenye mbio zaidi.
Ebwana hizi mutu...
Klabu ya Zamalek Imefanikiwa kutwaa Ubingwa Wa Super Cup Mara Baada ya Kuwafunga Mahasimu Wao Wa Jadi National Ahaly.
Mechi Ilitamatka Kwa Kutoa Suluhu ya Goli Moja Kwa Moja Ndani ya Dakika...
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Mtanirekebisha wadau.
Hii ni kabla ya matches ya jana. Otherwise pia draws ni nyingi sana. Ila Yanga imemchapa sana Azam tena kwa magoal lukuki.
𝗧𝗨𝗦𝗜𝗕𝗜𝗥𝗜
Kumbe Makolo wanaumia hivyo kisa Young Africans Sports Club kama tu kesho akitinga makundi CAF CHAMPIONS LEAGUE.Anyway Yanga amefuzu mara moja tu Makundi Ligi ya Mabingwa na amecheza...
Kuna maeneo Dar es salaam ukiishi unajishushia heshima yako tu,
Bora ukakae Kibaha au Bagamoyo ijulikane moja.
Nani anapenda kukalia Kigogo, hakuna bali hali ngumu ya uchumi inalazimisha watu...
Urafiki wa Azam na Simba unatuharibia ligi
Azam wameuza mechi na walipewa maagizo maalum kujilegeza kama wagonjwa
Huyo Sillah akicheza dhidi ya Yanga atajituma kama hatacheza tena ila mechi ya...
Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita.
Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli...
Ili kukidhi viwango vya FIFA inabidi uwe na seat kuanzia 40,000.
Tanzania kwa sasa hatuna uwanja wa kuhost ufunguzi wa finally za kombe la Dunia. Walau mkapa unaweza host robo fainali.
Kwanini...
Good morning.
Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match.
Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.