Ni kipindi kirefu washambuliaji wetu wa kigeni kila wanapofika hapa Bongo huwa wanahujumiwa na Mahasimu wetu licha ya kuwa na rekodi nzuriya ufungaji magoli huko watokapo.
Chondechonde tunautaka...
Sio sababu ni MVP Ivory Coast pekee. Hapana. Hadi sasa tumeshuhudia wachezaji bora Ivory Coast wanatua katika ardhi Yetu. Aziz Ki na Pacome huwezi acha kuwataja - moja ya sajili bora kabisa katika...
Usajili wa Chama sikuufurahia.
Wachezaji Aziz ki na Pacome, wanacheza Kwa pressure na hofu maana wanaogopa jina la Chama.
Walianza wanacheza Kwa bidii ya kupitilia na ku panic kuishia kufanya...
Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja
Wala...
Maneno ya Ken gold sports club Baada ya mechi . Waliofungwa 5 mikono juu
Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024
Golikipa wa Man Utd, David De Gea anadai kuwa timu yao itakuwa imepewa laana na ndio maana haifanyi vizuri kwasasa!
Sijui tunachokifanya kwasasa, matokeo yamekuwa mabaya siku mpaka siku, nafikiri...
Simba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk
Lakini cha...
Kumekuwa na songombingo kuhusu baadhi ya Michezo ya ligi ya NBC Bara kwenda kuchezewa katika uwanja wa Amani Zanzibar.
Mjadala umekuwa ni mpana. Suala hili lilianza pale Simba walipokuwa...
Enzo Zidane, mtoto wa Zinedine Zidane, ameamua kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 29. Enzo aliwahi kuchezea klabu ya Real Madrid na vilabu vingine, lakini sasa ameamua kustaafu soka.
Enzo...
Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana.
Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji...
Ni mimi wako: UWESU TANZANIA 🧠
Kwa tafiti fupi niliyoifanya nimegundua kuwa ni vigumu sana wachezaji washiriki wa CCL (CAF champion ligue) kusajiliwa kwenye timu shiriki za EPL (England premier...
Michezo inatoa fursa muhimu ya kuimarisha afya na mshikamano miongoni mwa watumishi wa umma na inasaidia kuleta hamasa kwa watumishi kufanya kazi kwa tija na uzalendo kwa taifa.
Kauli hiyo...
Ligi ya Tanzania bara
Azam vs Simba
Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka.
Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe.
Je...
Nimewacheki Chama langu Azam fc . Bado wana a lot of individualism . Kila mtu yupo kivyake . Awana timu , in short kesho Simba Ana point 3 zake mapema tu.
Azam fc sijui nani aje ? Sema deal ni...
Hizi timu za Ligi kuu zinasikitisha sana, kumfunga Yanga au kutoa sare haikufanyi upate alama tatu muhimu! Bali nguvu mbinu na mikakati mnayowekeza kukabiliana na Yanga mngewekeza kwenye vilabu...
Mtanisamehe kwa makala ndefu ila hili inabidi leo tuliongelee.
Mimi ni mmoja wa watu ambao kuna kipindi nilikuwa nashangaa nikikuta mwanaume ana jina la kike. Kyrie, Shannon, Courtney, Lindsay...
Muda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.?
Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi"...
Raphael Varane, beki wa Ufaransa, ametangaza rasmi kustaafu kutoka mpira wa miguu wa kulipwa akiwa na umri wa miaka 31. Varane soka lenye mafanikio makubwa, akishinda mataji mengi, ikiwa ni pamoja...
Simba Sports Club pamoja na kusajili wachezaji wazuri ili kufanya vizuri kwenye michuano ya kitaifa na kimataifa,
Nawaona Simba pia wakirudisha faida kubwa ya uwekezaji wa wachezaji kwa kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.