Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
11 Reactions
39 Replies
1K Views
Sitaki kuongea mengi sana, ila kwa heshima ya mkoa wa Mbeya, hakika tuna uhitaji wa uwanja wa kisasa. Uwanja wa michezo wa kisasa Kuna faida nyingi kuliko hasara, ila uwanja wa kisasa ni muhimu...
2 Reactions
3 Replies
211 Views
Mwanasheria alituambia Sisi wana Yanga SC (GENTAMYCINE) nimo kuwa Kagoma ni Yanga sasa mbona yuko Simba?
4 Reactions
10 Replies
531 Views
Mchambuzi mmoja amenifurahisha sanasana amegusa karibia na ukweli Kama tutafanya mzaaa hii timu ya Libya itatufedhehesha mbele za wake zetu kwa Mkapa. Haya wanasimba mnaoenda na wake zenu taifa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Leo ndiyo siku ambayo wale Waarabu kutoka Libya Al Ahli Tripoli waliotua nchini kupambana na Simba wanatarajiwa kuonyesha kandanda la kibabe kwa kupata ushindi mnono ugenini! Ushauri kwa Wana...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa?
1 Reactions
1 Replies
313 Views
Huwa najiuliza hivi mtu unawezaje kushabikia mpira timu mbili kwenye ligi Moja Kuna jamaa Huku anashabikia Manchester united na arsenal hivi hiki kitu kinawezekanaje aisee maana jamaa na jeze za...
3 Reactions
10 Replies
218 Views
Huyu mmh anaipenda sana simba Na n mfanyabiashara maarufu sana huko dom April alihaidi kutoa nguruwe 5 kila goli nahisi alijua hawashindi Sasa this tym katoa pesa kwa kamara wa simbaaaa kwa...
1 Reactions
6 Replies
439 Views
"Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Mfanyabiashara mkubwa wa nguruwe dar es salaam na Dodoma amempatatia kipa wa Simba hela Katika makabidhiano hayo mh sana anasema alifurahi saves zolizooneshwa na mouse Camara libya akamhaidi...
5 Reactions
12 Replies
820 Views
ORLANDO PIRATES WANAITAMANI YANGA ILI WAJUE UBORA WA TIMU YAO. Mashabiki mbalimbali Sauzi Wanaomba Yanga ipangwe kundi moja na Orlando ili wajue ubora wa timu yao.Huku wakiomba pia Aziz Ki anafaa...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Simba ya sasa sio ile ya msimu uliopita. Kwa viwango vya wachezaji wapya wa Simba halafu eti Feisal ajiunge nao, nadhani Kocha angemuombea aruhusiwe kwenda likizo msimu mzima. Soma Pia: Simba...
2 Reactions
7 Replies
563 Views
Mama Samia wewe na wanasiasa wenzako endeleeni kubanana hivyo hivyo huku ukiendelea sisi wananchi tupe zindiko tu la kusapoti vilabu vyetu vya Simba na Yanga tupate burudani ya mpira na nyie...
0 Reactions
3 Replies
451 Views
🚨"THIS IS ONLY THE BEGINNING", SAYS LAIZER Right after the finish line of the UCI World Championships in #Zurich2024, here is what Richard Laizer told us: “I am very happy with my first Cycling...
0 Reactions
12 Replies
829 Views
Jamaa ni kama alitumwa na uto kuwavunja wachezaji wa Simba. Refa nae akawa fair sana yule alitakiwa red card kwa uchezaji wake wa kikatili. Alichosahau yuko Libya kikazi ila huku Tanzania watutsi...
17 Reactions
61 Replies
2K Views
Uchawi hautakaa uishe Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji. Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Mzizima derby kupigwa Zanzibar wakati viwanja vipo nadhani hata mechi zingine kubwa kama derby ya kariakoo itapelekwa mwanakwerekwe na hatimae Sasa league ya NBC inahamia Zanzibar Tujipange na...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
HILI LA TABORA NI KIBOKO🙌 Baadhi ya wachezaji wa Tabora United wameonekana mitaani wakiwa na watu wanaodaiwa kuwa madalali, wakiwatafutia nyumba za kupanga baada ya uongozi wa timu hiyo...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
All other signing are the best signing so far, the best players in the pitch except; DUBE This guy bado anawenge la kuwa Yanga, in today's match he was the worst player in the pitch. He lost...
9 Reactions
122 Replies
6K Views
Back
Top Bottom