Match Day.
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO
#nguvumoja#
2'
Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi.
16'
Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la...
Zipo kila dalili mechi ijayo dhidi ya Walibya ikaisha kwa sare tasa..
Naomba nimkumbushe Mwalimu kwamba, Simba siku hizi imekuwa haina record nzuri pale inapotokea mechi zake kuamuliwa kwa matuta...
Jana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. Defence yupo, forward yupo.
Boka ana nguvu ana speed, hawa watu Yanga wanawatoa wapi??
Yanga mna uhakika huyu ni mchezaji sio...
WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91]
1. Mabululu (Angola [emoji1029])
2. Herelinson (Angola [emoji1029])
3. Ayoub (Tunisia [emoji1249])
4. Mourad (Tunisia [emoji1249])
5...
✍️Usimamizi mbaya wa fedha baadhi ya wachezaji: Hukosa ujuzi au elimu kuhusu jinsi ya kusimamia mapato yao makubwa wanapokuwa kwenye kilele cha taaluma yao. Matokeo yake, wanatumia pesa kwa anasa...
Majuzi hapa mashabiki wa Liverpool eti wakawa wanasema virgil ni bora kuliko vidic. Admin wa page ya FA Cup akawakumbusha vizuri wamjue vidic ni kisiki.
Naona vijana wa Arsenal wanaanza kusema...
Na Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
Leonel Ateba mshambuliaji wa Simba Sports Club mwenye jezi namba 13, amezaliwa tar 6 Feb 1999 ( 25 ) Cameroon Douala, ambae ametokea USM Alger, iliyopo...
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU
Kwanini waingileza ndo kama wameukamata huu mchezo wa ngumi
Ni baada ya hapo jana waingileza wawili kutwangana na mwingeleza mmoja kutwangwa kama...
Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea...
Hapokei hata Senti kumi linapokuja suala la malipo ( mshahara )
Anajilipia/kugharamia kuanzia:
a) Usafiri
b) Makazi
c) Malazi nk.
Pia timu yake anayoimiliki yaani MAMELODI SUNDOWNS...
Yanga mumepata mseleleko Sasa kazi mnayio 👇👇
https://www.instagram.com/p/DAO9o1wM3K5/?igsh=MTc5aDRia2NxbWtjag==
My Take: Safari yenu imefika mwisho
Simba wao ni wakubwa watapangwa kundi la...
Nimefuatilia reactions za mashabiki wengi duniani juu ya matokeo ya mechi baina ya Man city vs Arsenal kupitia media mbalimbali, nimegundua kuwa wengi wamefurahi sana Man city kusawazisha bao na...
Juzi Bw.Kaduguda umekaririwa katika vyombo vya habari na nikakusikiliza vzr sana ukimshambulia vikali mshambuliaji Leonel Ateba eti sio striker kwa sababu za kitoto kabisa kuwa ana assist nyingi...
Simba naona shida ni number10. simba aitengenezi nafasi za kutosha , magori ni chances created.
Simba inacheza big games, inatengeneza 2-3 chances . ila small games mpira unaonekana sana.
huyu...
Hapa majuzi kati
Nimeonaaaa badhii yatimu zikipewaa mafaini kadhaa
Nawaza hiziz pesa zinaendaga waoi
Ushauri pesa kama hizi. Ziende kwa vituo vya yatima na wajane
Tusisubiri ngao ya jamiiii
1. Mchezo ulikuwa mzuri lkn ulitaka kuwa mgumu baada ya Mabululu kututanguliza na waarabu kuweka viungo wengi kati kuliko sisi ambao tulimtegemea sana Kagoma na Fernandez
2. Che Malone ameanza...
Kwa hapa nchini Simba inasifiki kwa jicho la kuona makipa bora wazalendo,Idfi Pazi,Mwameja,Kaseja,Manula etc
Kwa miaka ya Karibuni Taifa keru kiliwategemea Manula,Kakulanya na Ali Salim,
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.