Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimefuatilia match mbalimbali za ligi ya mabigwa ninaujasiri wa kusema kuwa kikosi hiki cha young african mwaka huu kina balaa zito.. si ajabu kabisa kikailetea tanzania na mpira wetu thamani...
13 Reactions
25 Replies
2K Views
Ewe Mwenyezi Mungu muumba ardhi na dunia, umeumba wanadamu na vitu vyote vilivyopo, tunakuomba uijalie Simba ushindi leo katika dimba la Benjamin Mkapa ili tuweze kufuzu hatua ya makundi. Ewe...
3 Reactions
8 Replies
382 Views
Huyu kochanmtuu mbad sana aisee Ameulizwa vipi kuhusu mechi anajibu m niliwambia leo nataka muondoke na mil 50 Nimehuzunishwa sana nashangaa wamechukua 30mil tu... KazinikwaYangakunakazi
1 Reactions
8 Replies
355 Views
Kuna sehemu nimekuja kupata supu ya kuondoa hangover, tangu saa nne asubuhi nipo hapa sijaona hata mtu mmoja alievaa jezi ya makolo. Naona wananchi tu wanakatiza mitaa wametupia jezi zao. Hali...
1 Reactions
11 Replies
303 Views
NItaelezea kwa ufupi sana hili suala. Kuna watu kwa sababu wametokea kupenda kudanganya mashabiki wao, wanadhani kila mtu ni wa kudanganya. Katika ranking ya miaka 5, hakuna point unazopata eti...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Leo azam ikishinda dhidi ya coastal union,na simba ikifungwa na waarabu basi simba itakataa tamaa na kufungwa na azam
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Kwelii kabisaaaa unaifunga timu 6-0 NOOOOO NOOOOO HATA MNGEWAACHIQ GOLI1 DIARA KAMA YUKO LIKIZO AISEE HAYABANA
4 Reactions
22 Replies
716 Views
Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
0 Reactions
1 Replies
135 Views
Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Miaka nenda miaka rudi Yanga ni timu hatari imapoingia kipindi cha pili.
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Endapo Simba itashinda usiku wa leo, itajihakikishia alama 2.5, hivyo ukijumlisha na alama ilizo nazo kwa sasa, 28 + 2.5 = 30.5 hivyo itamrudisha juu ya Yanga kwa alama 1.5
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Msimu huu yanga ndo time pekee iliyoingia makundi kibabe na kuionyesha Africa kuwa hakuna mpinzani atakayeweza kuzuia yanga mwaka huu
3 Reactions
31 Replies
1K Views
FULL TIME 90+1' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 90' Wenyeji wanaweka mpira wavuni lakini mwamuzi anasema mfungaji aliotea 81' Farid Mussa anaingia, anatoka Fei Toto kwa Yanga 76' Yanga wanamtoa...
11 Reactions
913 Replies
47K Views
Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League. Na mechi za...
10 Reactions
63 Replies
3K Views
Yaan ya jana yanafurahisha sana Nakumbushwa KHALID AUCHO hajacheza hata dakika moja leo hii, navutwa shati kuwa BAKARI NONDO hakuwepo hata sub leo hii, naambiwa STEPHEN AZIZ KI ametokea benchi na...
5 Reactions
11 Replies
481 Views
Yaaan huyu baba Gamondi sijui akikuwa wapi Yaan kilamchezaji anakuweka Ukisibiri aziza anakuja clementine Ukimkosa clementine shamaaa anakuweka Ukimbana shamaaa sengeli anakuweka Tunapoelekea...
3 Reactions
2 Replies
287 Views
Gamondi kashika kiberiti, kakusanya vijiti na majani machache kutoka Ethiopia na burundi, kavitia kiberiti moto ukasambaa! Punde si punde chaka linaanza kuteketea, wale wadudu waharibifu...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
ANAANDIKA MCHAMBUZI,GEORGE AMBANGILE. . . ✍🏻Yanga wamecheza hii mechi utasema vile mechi ya mkondo wa kwanza alifungwa 1: Sharp wakiwa na mpira na bila mpira 2: Aggressive ( matumizi ya nguvu...
12 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi. GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo...
10 Reactions
12 Replies
593 Views
-Klabu ya Simba SC ya Tanzania sasa rasmi imekuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF Champion League msimu 2022/23 kama msimu uliopita baada ya CAF...
20 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom