Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

SIMBA imeshaipa neema Tanzania 🇹🇿 baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo. Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi...
14 Reactions
44 Replies
4K Views
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25 . 1. Al Ahly (Egypt) – 87 points 2. Esperance (Tunisia) – 61 points 3. Wydad AC (Morocco) – 60...
13 Reactions
75 Replies
14K Views
Mechi ya Kwanza walicheza nchini Ethiopia na Mechi ya Pili ambayo inaendelea sasa wanachezea Nchini Zanzibar. Bado haijajulikana sababu hasa za kufanya Jambo hilo. Bali Mitaani kumejaa...
4 Reactions
8 Replies
447 Views
IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! 🔴🌍 Top 10 (1 April 2022 – 31 March 2023) 1. Al Ahly. 217 points 🇪🇬 2. Wydad AC. 175 points 🇲🇦 3. Zamalek SC. 163 points 🇪🇬 4. Pyramids FC. 142.5 points 🇪🇬 5...
12 Reactions
112 Replies
8K Views
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF 1. Ahly - 220 points 2. Wydad - 170 points 3. Zamalek - 154 points 4. Pyramids- 140.5 points 5. Al Hilal - 132.75 points 6. Mamelodi- 127 points...
29 Reactions
143 Replies
11K Views
Aliyekuwa mchezaji wa As vita ya DR Congo Ellie Mpanzu yupo nchini kusaini mkataba wa awali wa kucheza Simba baada ya Dili lake ubelgiji kushindikana Mpanzu kasaini miaka mitatu na atajiunga na...
8 Reactions
66 Replies
4K Views
Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa...
3 Reactions
17 Replies
649 Views
Hapo vip! Vital O na CBE SA ni sawa na mbeya city na lipuli ya Iringa...Hata mashujaa wangewafunga 10.
8 Reactions
20 Replies
941 Views
Hii team inashinda Kila mechi halafu inashinda kirahisi sana na ukijichanganya unakula hata nne au Tano
0 Reactions
5 Replies
476 Views
Kama hatoenda Nahodha mwenyewe Mohammed Hussein Zimbwe Jr basi aende hata Kelvin Kijiri tu inatosha sawa?
3 Reactions
9 Replies
625 Views
PERFORMANCE YA KUFYEKA VICHAKA!!!! ✍🏻Hii ndio Total Dominance iliyokamilika kwa Yanga kufanya vitu vingi kwa usahihi kuanzia filimbi ya kwanza hadi 90 mins , CBE SA kwa namna walivyokuwa...
1 Reactions
3 Replies
443 Views
Wakuu haya ni maoni yangu kiafrika sioni umuhimu wa Yanga kuwa na uwanja wake wakati Kuna viwanja vitatu kwa dar anavyoweza Kutumia bila shida badala yake nadhani hiyo pesa ingejenga sport center...
6 Reactions
60 Replies
2K Views
Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu, Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha, Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama...
8 Reactions
13 Replies
947 Views
Hakuna Magoma tena, punzi imekata. Akina Magoma wako wengi sana pale Simba na Yanga (kulwa na doto), wale wa Simba walikuwa wakisubiria waone Magoma wa Yanga atanufaikaje na kesi ili nao...
1 Reactions
10 Replies
462 Views
Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8 Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama...
17 Reactions
73 Replies
4K Views
Ni mchezaji mkimya na mtulivu sana lakini ana balaa uwanjani, mchezaji pekee ambae ana uwezo wa kupiga chenga mpaka wachezaji 6 na kipa, n.k. Mwaka 2023 waarabu walikuwa tayari kumlipa Euro...
17 Reactions
68 Replies
3K Views
Wengi tunaopita kwenye social media mbali mbali tumeona msemaji wa yanga akinusurika kupata kipigo kwa kujaribu kukamata jezi feki za timu yake na nyingine za Simba. Kwa muda mrefu kumekuwa na...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
I salute you kinsmen..! Wote tunakumbuka namna mamelodi pamoja na aliyekuwa kocha wao bwana Rhulani mokwena walipoikonya yanga ushindi wao halali kabisa na kwenda kutolewa hatua ya nusu final...
6 Reactions
21 Replies
961 Views
Back
Top Bottom