Katika mashindano ya kimataifa, timu zetu zimekuwa zikishuhudia vitendo vya unyanyasaji na ukatili kutoka kwa wenyeji wao. Angalia timu nyingi ambazo zimekuwa zikinyanyasika kwenye mashindano...
Tumezoea kuona Yanga wakija na ubunifu wa aina mbalimbali, mfano, Tumekuwa tukiona wakifanya 'Supu day' ambapo wanachama, wapenzi na mashabiki mbalimbali hukutana pamoja kufurahi na kubadilishana...
That is it.
I'm writing this because Today The true footballer has added another trophy on his cupboard.
That man who is currently playing Al Nassr, He's not deserving to be true GOAT. The guy...
Afisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe ametuma salamu kwa wapinzani wao Simba SC kwa kusema "Simba jishikilieni tunakuja na balaa tupu" timu hizo zitakutana Septemba 26, 2024.
“Sisi sasa hivi...
Kesho kwetu ni siku muhimu mno kuliko Simba day, kesho ndio ile Ubaya Ubwela yetu sisi.
Sasa Kama ulkuwa ukienda uwanjani kuiangalia Simba ikicheza na Fountain gate, ukaenda Simba day ndugu yangu...
Kama title inavojidadavua hapo juu:, Kuna haja ya kuwaonyesha Maharamia kupitia michezo hususani soka, ingawa na mingine hipo haja ya kufanya hivo pia kuwa tunapinga mauwaji yanayoendelea kila...
Wakuu ...Leo kama kawaida mchambuzi mahiri hapa mjini JF nmekuja na uchambuzi makini ni jinsi Gani Simba itatolewa kwenye kombe la wamama ( shirikisho)
1. Simba bado Haina mshambuliaje wa...
Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na...
Leo naona hakutokuwa na mabadiliko makubwa sana katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wanyeji Yanga SC dhidi ya wageni wao CBE SA ya Ethopia.
Mchezo huu utachezwa katika dimba la New...
Wadau hamjamboni nyote?
''Kila kitu ni bahati, mtu anaweza kuwa huku Tanzania akasema mrisho kashindwa na kuna stori zilikuja eti Mrisho kashindwa kumaliza kuku, lakini hizo ni stori tu mtu mmoja...
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa michuano ya CHAN itapangua ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi hivyo maofisa wa ligi tangu jana wameanza kukaa kwa ajili ya kufanya...
Simba ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari aliyeitumikia AS Vita kwa mafanikio, Elie Mpanzu lakini jitihada hazikuzaa matunda baada ya mchezaji huyo wa DR Congo kutimkia Ubelgiji kwa...
Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa...
Wanasimba wenzangu kwema, few days to go. kabla ya mechi yetu na Al ahly Tripoli. timu yetu tunaijua wazee.
kwa mfano :
fadlu akishindwa kutupeleka makundi nani alaumiwe??
a) Mangungu
b)...
Itakuwa vigumu sana kuja kuwaaminisha wajukuu zangu kwamba huyu beki alikuwa mbele kabla mzize hajampita na kutoa assist moja kali sana, Na huyo ndiye beki wao tegemezi 😀😀😀
Baada ya Timu ya Yanga kukimbilia Uwanja Wa Amani Stadium Zanzibar, wasiwasi mkubwa umetanda kuwa hata Baada ya kufanya uamuzi huo Upo uwezekano mkubwa Uwanja huo Usijae..!
Yanga itajitupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.