Nimejiuliza sanasanaa
Kwanini kwa Simba. Kila timuzanje zikija zinakuja na vyakula vyao Na vyakula wanapikia ubalozin mwa nchi husika.
Nawaza wanaogopa Uchawi, Kulogwa, ama wana taarifa zaidi...
Kwenye ulimwengu wa wa roho
Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo...
Kwa nilivyoiona hii klabu ya simba Mimi kama mchambuzi wa maswala ya soka Sina ushabiki wowote wa timu za Tanzania ni kwamba hii timu hamna kitu ilichokifanya kule Libya na jumapili inaenda...
Pamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo.
Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya...
Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba...
Mpo huku mitandaoni mkisema Simba inacheza kombe la Ndondo, mnasema Simba haikuwa na on target hata moja, mnasema Simba ni mbovu sana, ila mko mstari wa mbele kununua tiketi kwenda kuangalia pira...
Klabu ya Hapoel Petah Tikva inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Israel umeachana na kiungo Kelvin Kapumbu ikiwa ni miezi miwili tu tangu nyota huyo raia wa Zambia atue klabuni hapo mnamo Julai...
-Kwenye Top 10 ya vilabu bora Afrika, Ni timu moja tu (Pyramids) ndio ipo Shirikisho (CAFCC) huku Petro Atletico de Luanda wakiwa hawashiriki michuano ya CAF baada ya kutolewa hatua ya makundi...
Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi...
I salute you kinsmen.
Hilo kombe la shirikisho ambalo simba wamekuwa wanashiriki sasa kwa kweli sio kama lile la misimu yote.
Hili la sasa limekuwa la kibwege sana na team za hovyo sana kama hao...
"Kwa hiyo YANGA walikuja wanajiamini.....wanatupigia mbwembwe ....mwaka huu tunaenda nusuuu kwenye lile kombe la kina mama ( kombe la shirikisho[emoji23])
Sisi tunacheza kombe la wanaume ( club...
Tanzania vituko haviishi yaani Mchambuzi aliyesoma akiwa live kabisa. Anasema Dube kukosa nafasi ni laZima analogwa na washambuliaji wenzake akina Musonda, Mzize na Baleke
Huyu bwana haamini...
Wapinzani wa Simba SC, Al-Ahli Tripoli kutoka Lybia, wamewasili nchini na tayari wameshuka kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakiwa na Bordguards kibao. Timu hiyo inajiandaa...
Habari ya asubuhi wakuu naomba kujuzwa juu ya huu mfumo mpya unatumika UEFA champions league. Maana nimejaribu kufuatilia naona kama kuna utaratibu mpya umetambulishwa sijui kama walianza msimu...
Wilhelm Gidabuday enzi za uhai wake
Wanaukumbi aliyekuwa Katibu Mkuu chama Cha riadha Tanzania(RT) Wilhelm Gidabuday amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo tarehe 10/9/2024 Kwa kugongwa na gari...
Kuna wakati unasikiliza baadhi ya watu huku mitandaoni unabaki kujiuliza hawa watu wanaujua kweli mpira au naongea na bots (kwa wasiojua bots ni mifumo ya kicomputer inayoact kama binadamu...
Hapo vip!!
Hii tabia au hali kama hii ipo wazi sana na nimejaribu kuchunguza muda mrefu nimeona wanayanga na viongozi wao huwa wanaiwaza Simba sana kuliko hata timu yao
Yaani yule msemaji wao...
Azam media imesitisha rasmi kutoonesha mapambano ya boxing tena kwa kesi inayowakabili ya kuiba Idea ya neno "Vitasa".
Sasa Wasafi media iangalie namna ya kuwahi hiyo fursa ya kuonesha mapambano...
Waziri Ndumbaro kwa nini huwapumzishi hawa wazee Filbert Bayi, Ghulam na Henry Tandau? wanaotafuna pesa za watanzania? Bayi anakula pesa za wanariadha , makocha na hata wanahabari ambao walitakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.