Mimi ni simba lakin hii yanga[emoji23][emoji23]..Hapan ndugu zangu..kuna lile jamaa cjui linaitwa boka..linakimbia hatari...Yule mchezaji au mwizi[emoji1787][emoji1787]..ni halali asiwe anatumika...
1. Refa ni wa simba
Mpira wetu matokeo tunapanga sana. refa katumwa na simba washinde mechi. shame ila alikwau na maelekezo
2. Magoli yote offiside ya simba.
Kibendela nae katumwa. yani hii ligi...
Yaani uki Google ligi za ulaya utaona live updates inaonesha ni dakika ya ngapi na goli ni ngapi kwa ngapi, hata line-up za vikosi, ila uki Google Tanzania premier league unakuta inaonesha tu timu...
Ebwana eeeeeeeeeeeeennh yale mavitu ya utamu na ufundi mwingi usio na kipimo wa awesu jana mmeuona? Nadhani imefika muda ahoua na awesu wagawane mechi za kucheza sio kila mechi ahoua tu, coz awesu...
nilikuwa mtu wa kutoa za ndani, za azam fc. kama shabiki nimejitoa ushabiki wa azam fc,
2. jezi nimechoma, anything azam fc, kama NILIPOST Moderator futa.
3. sitaki kuhusishwa na chochote cha...
Ole Gunnar Solskjaer piles pressure on Erik ten Hag by opening the door for sensational Man United return three years after Old Trafford sacking
Ole Gunnar Solskjaer has given his verdict on if...
Bondia Anthony Joshua anatarajiwa kurudiana na Daniel Dubois baada ya sehemu ya Waratibu wa pambano lao la kwanza kudai kuwa wapo katika mazungumzo ya awali
AJ alipoteza pambalo lililopita katika...
Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho..
Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila...
Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC
Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex,
Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam...
Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki.
Kuna wachezaji ambao hawasitahili kuanza kwenye first...
Nukuu ya mwanautopolo lialia Labani og
"Kama utakuwa professional kwenye soka la nchi hii jaribu kuweka vikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo...
1. Hivi kocha wetu kweli haoni tofauti kati ya Jean Charles Ahoua na Awesu Awesu? Hata asiyejua mpira anaweza kuwatofautisha wachezaji hao
2. Hivi kocha unawezaje kumtoa Kibbu ambaye ametolewa...
Kiufupi hakuna neno lingine la kusema kwa Mutale zaidi ya simba tumepigwa hakuna mchezaji hapo.
Tumemuondoa Saido tumeleta Saido namba mbili ( Mutale) mbovu zaidi ya mara 10 ya Saido namba 1.
Bora...
Amefanya kazi miezi miwili tu,
Kweli mpira kazi ya ajabu sana.
---
Al Ahli Tripoli has decided to sack their head coach Chokri Khatoui after failing to guide the team into the CAF Confederation...
I wll be short
1. KALIA NDO ANA SUPPORT KUPANGA MATOKEO, HOW? officials wa mechi zote wanapangwa na genge lake. KUPANGA BAADHI ya mechi. nani ashinde nani asishinde. every thing is planned...
Hongereni sana kwa ushindi wanamsimbazi..!! Kuleni shushu wanamsimbazi bila bugdha. Nimeshindwa kumuelewa kabisa mwalimu fadlu kwanini anaanza na ngoma ambaye umri umeenda(veterani),hana...
Nilijitambua kuwa mimi ni SIMBA mwaka 1982, almost miaka 41 hivi iliyopita.. Ni shabiki kindakindaki wa SIMBA sports club. Mimi si shabiki maandazi.
SIMBA ni timu kubwa sana Tanzania, Afrika na...
SIKU moja baada ya kumalizika kwa msimu wa 2021/22, Yusuf Bakhresa, mmoja wa wakurugenzi wa Azam FC alitangaza vita kwenye mbio za ubingwa katika msimu unaofuata, 2022/23.
Majina ya wachezaji...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ KEN GOLD vs YANGA Sc
saa 10 kamili jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya Ken Gold SC🔰💪🏽
Mpira umeanza
Dakika ya 2 boka anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 3
Max...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.