Wenye uelewa na Mpira watakuwa wamenielewa ninachomaanisha, siku zote timu yenye tabia za kuchukua ubingwa uwa Zina viashiria Fulani Fulani vya kutwaa ubingwa!
Viashiria ivyo yanga anavyo kwa...
Mechi Imetamatika Ikishuhudiwa Simba akiondoka na Sare ya goli Mbili Kwa Mbili Dhidi ya Coastal Union (Wana Mangushi).
Lakini Mjadala Unabaki Kwa Nini Lamek Lawi Hakuwa Sehem ya Kikosi Cha...
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesitisha kuiondolea uanachama Israeli na badala yake imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya ubaguzi yaliyotolewa dhidi ya maofisa wa Soka wa Palestina.
Jopo kuu...
Huyu jamaa wa timu ya Pamba kaitafuta card nyekundu kwa udi na uvumba. Yanga yenu ndio hiyo.
Haya ngoja tuone mvua ya magoli kwa Yanga na Azizi Ki anapata hat trick
Bahasha fc.
Ligi zote duniani huwa zinaendeshwa kwa sheria na taaribu ambazo zimejiwekea hasa ikija upande wa wadhamini wa Timu .
Ligi nyingi mdhamini mmoja hawezi kuwa mdhamini mkuu wa timu zaidi ya moja...
Top 15 best stadiums in Africa
1)-FNB Stadium: Located in Johannesburg, South Africa 🇿🇦, this stadium has a capacity of 94,736 and is the largest stadium in Africa. It hosted the 2010 FIFA World...
Hapo vip!!
GSM ni mfanyabiashara hivyo anafanya mpira wa biashara.
Ni wazi pamba imemkusanyia yanga point na magoli mengi ili yanga wachuukue ubingwa na GSM apate pesa zaidi.
Ukiangalia mwenendo...
Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.
Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara...
MIMI NI MNYAMA ILA KUNA VITU VINANIKWANZA SANA
Hii nchi Ina watu wa hivyo sana ambao wanachojua wao ni kusifia tu kama wamekunywa maji ya chooni.
Sijui huwa wanalipwa na mabrokers wa 10%...
Habari!
Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana.
Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa?
Ila shida hua ni pale...
Mzee wa mbwembwe kibao
Mzee wa kuwakera, mara ya mwisho kumskia alikuwa analia na raisi apewe uraia wa Tanzania.
Yuko wapi sikuizi au ndio mpira kushnei?
1.Djuma Shabani wakati anasajiliwa Yanga tuliambiwa alikuwa akihitajika Real Madrid sasa yupo Namungo
2.Obrey Chirwa.,akivyotoka Yanga tukaaambiwa ameeenda Al Ahly ya Misri.
3.Tshishimbi,walisema...
Ukijaribu kufatilia kuanzia mechi ya Yanga vs Kmc na leo Yanga vs Pamba Jiji utagundua kuna mkakati wa maksudi kuumiza wachezaji wa Yanga ili tarehe 19/10 Wachezaji wengi wa Yanga wawe majeruhi na...
Wadau kila mtu hapa Tanzania anafahamu kwamba timu ya Yanga ina vinasaba na timu ya Pamba miaka na miaka sasa. Kwa upande mwingine timu ya Simba na Costal union ni mapacha kabisa. Sasa hii ratiba...
Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna...
Yanga leo imepata Ubingwa wa Premier- Tanzania baada ya kuichapa Toto Africa Mwanza 2-1!
Wamefikisha point 46 ikiwa bado mechi 5 mkononi!
Simba Mko Hapo???
Yanga!! Yanga!!! yanga...
Hii ndio sentence pekee naweza kuitumia kuelezea kile nachokiona kwa team ya Yanga
Kwa Sasa Kuna wachezaji lakini hakuna team Kila mmoja anataka kufanya kile anachotaka kufanya sio kwa ajili ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 02 Oktoba 2024, amekabidhiwa Jezi ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Jeshi la Ulinzi wa Wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.