Kipindi niko shule headmaster wetu alukuwa anatoa xawadi kwa wanafunzi watatu bora na watatu wa mwisho.
Hii ilipelekea wale watatu wa mwisho kupambana sana jukwepa zawado ya nchongo kwa muhula...
Maana ya Betting
Betting, au kamari, ni kitendo cha kuweka dau au kubashiri matokeo ya tukio fulani, mara nyingi matokeo ya michezo, kwa matumaini ya kushinda fedha au tuzo nyingine. Betting...
Manguli wa ndondi kutoka Urusi, Artur Beterbiev na Dmitry Bivol watakutana usiku wa leo (Saa 01:15, Jumapili) katika pambano lisilopingika (Undisputed) la Uzani Mwepesi (Light Heavyweight) mjini...
Tuache kufikiria watu watasema nn, lakini namna timu inavyocheza inahitaji ongezeko la wachezaji wenye uzoefu pia aina ya Msuva, Manula, Sureboy katika kuamua matokeo pale hali inapokuwa ngumu...
Hakika mmekuja na Vigelegele mtaondoka na vigelegele 😀 Kusanyiko limeketi likaelezwa namna viwanja vitano, recreation centre sijui swimming pool zitakavyojengwa,
Wakashangilia na kupiga makofi...
Embu tuweke utani pembeni.
Duniani kote kuanzia vilabu hadi timu za taifa, kuanzia katika soka, basketball hadi American Football na michezo mingine ni kawaida timu kubwa kujilinganisha na mnyama...
Azam acheni ubahili ajirini watangazaji wanaojua Kiswahili na Kifaransa mechi ya Tanzania na Congo ni kifaransa tu hamna mkalimani mnatia aibu
Media zingine pia achaneni na watangazaji wajua...
Salaam Big thinkers
Kwanza angalia hii picha vizuri kwenye nembo ya CRDB kwanini imewekwa BLACK
Then, watalamu wa Branding na marketing tusaidieni kujibu haya maswali.
1. Kwanini CRDB...
Uzuri sanda mnazo wenyewe sisi kazi yetu ni kuwatoa uhai tu
Alisikika shabiki mmoja alisema [emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya Mimi mchambuzi kutafiti deeply about Simba capability to beat...
Nimejaribu kuzifuatilia kwa ukaribu sana timu zilizopo kwenye kundi la yanga na nimejiridhisha akuna timu inayoweza kumtisha yanga kwa uwezo, current performance, na kiufundi pia!
Yanga angeweza...
Kwa jinsi mpira wa Tanzania ulivyo Simba na Yanga ndio zinategemwa kuwa kuwa mhimili wa timu ya taifa, bahati mbaya sana ni kwamba vilabu hivi viwili vimetawaliwa zaidi na wachezaji wa kigeni...
Kenya match zote za timu za taifa honeshwa bure, Uganda match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels za bure.
Rwanda , Burundi na nk match zote za timu za taifa kuoneshwa kwenye channels...
Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.
Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania...
Uongozi wa klabu ya Coastal union umewajulisha rasmi mashabiki na wadau kwamba timu hiyo itautumia Uwanja wa Sheikh Amri Abedi, Arusha kama uwanja wake wa nyumbani kwa michezo yake inayofuata...
Jana siku imeenda vyema sana baada ya Mzize kufanya kweli. Kwakifupi timu ya taifa inazingua, rais Samia anadangwanywa na ameingia kwenye mfumo.
Mh. Rais, huna timu ya taifa. Na bado.
Striker force ambaye amezoea kupokea makrosi ya Joyce Lomalisa,Djuma Shaban,Shadrak Boca na Max Nzengeli jana alipoina inakuja krosi ya wakongo akajua yupo kwenye majukumu ya klabu akaitia kunyavu...
Naangalia mechi ya Tanzania na DR Congo yaani picha ni mbaya mno naona Azam tvna hawa washirika wao kwenye kurusha wanatumia tecno.
Azam TV inabidi mjitafakari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.