Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Unajua sisi wasomi tunajua takwimu ni kitu unachoweza kukitumia kwa manufaa yako kulingana na angle uliyoamua kuitumia, wakati huo huo kumbe kwa angle nyingine kuna takwimu zinaweza kukuhukumu...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Simba imepoteza mechi moja na droo. Camara amesababisha goli la kizembe ambapo alipaswa ama kuuacha uende nje ama kudaka na alipotema kuurukia tena. Kuanzia jana, Simba wamerusha taulo ulingoni...
2 Reactions
18 Replies
867 Views
Jana nimeiangalia vizuri sana timu yangu ya "SIMBA" nimegundua tunakosa quality(ubora) kwenye maeneo yafuatayo 1.Beki wa kulia kwa maana ya namba 2, upande huu anacheza kapombe: baba esta umri...
1 Reactions
11 Replies
874 Views
Ukweli usemwe tu, Hili bao Moja Moja la Yanga, limekuwa kero sana hivi Sasa huku mtaani. Waliopigwa bao wanabeza sana na kuona sasa mmeanza kukata pumzi. Utasikia bao lenyewe Moja, hawana kitu...
2 Reactions
21 Replies
623 Views
Kuna video inayo tembea mitandaoni ikimuonyesha msemaji wa Simba akihojiwa na wanahabari. Akiwa anajibu maswali juu ya malalamiko katika michezo iliyopita ya Simba dhidi ya Azam na Dodoma JiJi...
7 Reactions
28 Replies
867 Views
Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne. Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba na Yanga SC, Haji Manara amesema kuwa kuwa anafurahishwa sana na uwezo wa Afisa habari wa Simba, Ahmed Ally, kwa namna ambavyo anajua siasa za mpira...
9 Reactions
14 Replies
657 Views
Wanasimba tutafakari vema kumpa Timu huyu bwana tunaemwita mwekezaji. Naliona Giza mbele yetu Mimi nimepoteza imani kwake.
3 Reactions
10 Replies
371 Views
Ukipita mitandaoni na mitaani, utaona wanasimba wanalalamika wameonewa na mwamuzi sababu kubwa zao ni 1) wamenyimwa penati mbili za Kibu, na faulo iliyozaa goli haikuwa faulo ya maana. Kwenye...
13 Reactions
22 Replies
1K Views
Nimeona wananchi kesho wana mechi ya ligi ya mabingwa afrika, ni mechi muhimu sana kiasi wakaamua kuipa jina “Pacome Day” huku wakinogesha na style ya nywele ya mchezaji wao Pacome. Style hiyo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Chanzo cha picha,Getty Images Everton wako tayari kumnunua winga wa AC Milan, Samuel Chukwueze, Manchester United wana matumaini ya kumsajili Alphonso Davies, Dusan Vlahovic bado anaweza kuhamia...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Ndugu zangu, wana-msimbazi wenzangu kwanza tujipe pole kwa kupoteza derby ya nne mfululizo. Ila tukubaliane kwamba timu yetu ni takataka na ya hovyo sana mbele ya ma-giant Yanga Africa, sisi ni...
2 Reactions
0 Replies
214 Views
Mimi sio shabiki wa mpira Ila nimeamua kufanya utabiri Simba anashinda kesho nimeona hivyo
8 Reactions
27 Replies
913 Views
Kwamba Simba haiwezi kufungwa Hadi mchezaji mmoja auze Mechi?
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimeutizama mpira jana safu yetu ya ushambuliaji ukimtoa Ateba hakuna mwingine aliyekuwa anaelewa nini timu inatakiwa kufanya. Nikiri tu kusema Simba tumepata kocha mzuri sana ila tatizo lipo...
8 Reactions
74 Replies
2K Views
Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Kyllian Mbappe ameeleza kushtushwa kwake na taarifa zinazomhusisha na ubakaji uliotokea nchini Sweden. Mamlaka nchini Sweden zimethibitisha kuwa upo uchunguzi...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Ukisikia kujuta ndo huku Huyu mwingine ni wa kushika mkono tu na kupeleka pale jangwani maana anapatamani mwenyewe
4 Reactions
15 Replies
790 Views
Ninasikitishwa na kiongozi wa Simba anayemlalamikia kipa kwa eti kuurudisha mpira uwanjani. Hizi ni lawama za kipumbavu sana na zinakatisha tamaa. Hazisaidii kuongeza umakini ila zinaleta...
9 Reactions
25 Replies
904 Views
Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono...
5 Reactions
101 Replies
3K Views
Inabidi tujiulize kidogo, mbona goli hili limekubaliwa? Kwanini la Simba jana limekataliwa? Nb: mimi ni yanga
2 Reactions
12 Replies
633 Views
Back
Top Bottom