Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tuseme ukweli na tuache unafiki Zahera timu imemshinda. Wengi watajivunia kumtoa Township Rollers lakini aina ya mpira tulioucheza ulikuwa mbovu sana ni bahati ilitokea na bahati huwa haijirudii...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habarini wadau wenzangu na mahaters kwa ujumla :D:D:D:D, sina kinyongo na mtu jamani...Hope nyote wazima kabisa, long time nimepotea ndugu zangu....baada ya timu yangu pendwa na yenye washabiki...
1 Reactions
4 Replies
976 Views
Huu ni kweli mchungu, Manula amekuwa akisemwa ni 'Tanzania one' na maneno kibao, lakini ukweli ni kipa wa kawaida sana na kwa kuwa ni wa kawaida naomba niseme timu ya Taifa na Simba hazitafikia...
17 Reactions
64 Replies
11K Views
Kocha zahera Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imempiga faini ya Sh 500,000 Zahera kwa kuvaa mavazi yasiyo nadhifu na ya heshima katika mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya @TaifaStars ambaye pia ni RC wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo Sep 9, 2019, amemkabidhi golikipa wa timu ya Taifa ya Tanzania Juma Kaseja, kitita cha Shilingi...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Miaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa...
3 Reactions
37 Replies
7K Views
Huyo ndio kikwazo cha yanga kushindwa washsbiki hawajui wanamuona kama malaika wa yanga Wache muendelee hivyohivyo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Swala la Jezi za Mashabiki limekuwa gumu na adimu sana madukani. Na hata hayo maduka jezi zinapopatikana bei hazishikiki,ni Wapenzi,Mashabiki na Wanachama wa Yanga watanunua Jezi kwa shilingi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii nchi viongozi wetu wa serikali wanazani maendeleo ni ujenzi wa vitu vingine tu km SGR na Majengo marefu tu.Maisha ni pamoja burudani hasa mpira wa miguu ambao ndio kipenzi kikubwa cha WTZ...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna habari za chini chini zinadaiwa viongozi wakubwa wa yanga hawamtakii mema zahera hawampi ushirikiano wa timu kufanya vizuri
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Itakumbukwa mwaka jana wakati ligi kuu ipo hatua za mwanzo, Simba ilifungwa na Mbao jijini Mwanza na Aussems kocha wa Simba alirushiwa chupa na wapenzi wa Simba waliochukizwa na matokeo, huku...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
https://manchesterunited.vitalfootball.co.uk/19428-2/
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Dakika 3 Stars 0-Burundi 0
6 Reactions
362 Replies
33K Views
Imekuwa kawaida kwa kauli au maamuzi ya Mkuu wa Mkoa kuonekana kufeli miongoni mwa Watanzania...lakini ule uamuzi wa kuwazuuia Wachezaji waandamizi wa Taifa Stars Erasto Nyoni na Kevin Yondani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huko mwanza hali sio shwari kwa wanajangwani. Sare dhidi pamba sio habari sana maana uwezo wa timu bado tia maji tia maji. Hapa nazungumzia kuchangisha fedha taslimu tshs milioni 4 na ahadi za...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
TANZANIA Na Xavi Hernandez Alcantara Tungeweza kuwafunga mapema tu Burundi hata kule kwenye penati tusingefika bila shaka lakini tushukuru kwa ushindi Ambao tumeupata kupitia mikwaju ya penalti...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo naona kabisa Taifa stars atashindwa kwenya hatua ya makundi na kwasababu wanaweza kubweteka kutokana na matokeo ya away hapa ndo kutaanzia tatizo lakini pia Burundi individual wanauwezo...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Anaandika Emmanuel M. Makalla mmoja kati ya wanachama wachache wa Yanga wenye akili timamu. ______ Natafuta tusi moja niwatukane viongozi wa Yanga lakini najikuta roho mtakatifu ameficha maneno...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Hivi TFF mnajielewa kweli?? Kwenye mechi inayoendelea Vs Burundi kwanini Jezi ya Mbwana samatta na Jonas Mkude zinatofautiana na wengine?? Jezi ya samatta na Mkude hazina maandishi TAnzania...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Karibuni katika kundi la live streaming na mijadala ya kimichezo, utaweza kuangalia michezo mbalimbali kupitia simu au tablet yako.Gusa link kujoin. https://chat.whatsapp.com/CMzMtM8W7PKDiPEcxvhYnY
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…