Nimefikiri mno cha kumwambia dogo Juma Kaseja katika maisha yake ya mpira na nimeona nimshauri astaafu kuichezea timu ya taifa hivi sasa. Ni muda muafaka kwake kufanya hivo.
Lijue Gari ghali zaidi duniani, Cristiano Ronaldo atajwa kulinunua
Hili gari, Bugatti La Voiture Noire ndilo gari ghali zaidi katika historia ya dunia, likiwa linagharimu US Dollar Milioni 18.7...
Kuelekea mchezo wa leo ambao tanzania itakipiga na kenya golikipa namba moja wa stars aishi manula karipotiwa kua majeruhi..
Kuna uzi wa mdau mmoja alileta kuwa kessy anampiga misumari kapombe...
Yanga ikiwa na kikosi kamili imetoka suluhu ya goli 1 na Wanakawekamo wana TP Lindanda Pamba SC hapa uwanja wa CCM Kirumba.
Yanga imechomoa dakika 89 huku Pamba wakiwa pungufu baada ya Amisi...
Kocha wa timu ya Wartford bwana Javi Gracia amefukuzwa kazi baada ya kuiongozo timu hiyo kupata alama moja kwenye ligi kuu ya England ,maarufu EPL hata hivyo uongozi wa klabu hiyo imemtangaza...
Huyu mchezaji alipokuwa Arsenal alijishebedua sana akikataa kusaini mkataba mpya ili aongezewe mpunga , Mzee Wenger hatimaye akasalimu amri na kuamua kumsalimisha kwa Bwana matamaa aitwaye Morinho...
BINGWA mara mbili wa mbio za mita 800 kwenye michezo ya Olimpiki, Caster Semenya ameanza kujiandaa kwa maisha mapya nje ya riadha baada ya kujiunga na klabu moja ya soka ya wanawake.
Mwanariadha...
MKEKA TIPS
Hii ni website na Android app niliyoitengeneza kwa dhumuni la kutoa betting tips for free, ni BURE na daima itakuwa hivyo. Nilii-publish juzi rasmi na kuanza kufanya kazi huku ikiwa...
Mchezaji Bora wa muda wote wa Africa Samuel Eto's ametangaza kutundika daluga huku akiwa na miaka 38 ,huyu jamaa pamoja na Rodaldinho walinifanya nimtoroke mchumba wangu usiku ,wakati mwingine...
Nembo ya Vodacom ina wekundu na weusi kitu kinachowapa kigugumizi wenzangu wa Yanga kuweza kuivaa kwenye jezi zao kama ilivyo eti kuepuka lile doa nyekundu kwenye nembo. Miaka iliyopita...
Kama Klabu haitaki Kuvalia Jezi yenye Nembo Nyekundu ya Mdhamini ifutwe kabisa
Kama Klabu inatetea ‘ Ukipa Katoka / Upumbavu ‘ wa Kocha wake ifutwe mara moja
Kama Klabu inahamasisha Fujo katika...
Wakati mwingine uswahili unatuharibu hata katika masuala ya kawaida sana.Suala la rangi mfano lipo wazi kabisa kila timu ina rangi zake ambazo ni sawa na utamaduni wake.Yanga ina rangi ya kijani...
Wadau leo Mabingwa wa kihistoria Wavaa Vipensi Yanga walikuwa na mechi ya kirafiki na Klabu ya daraja la kwanza Pamba ya Mwanza.Vipi matokeo ya mechi hiyo?
Bodi ya ligi ikiongozwa na Boniface Wambura imeweka kanuni inayotaka timu mwenyeji kwenye ligi kuu Bara ihakikishe kunakua na gari la wagonjwa (ambulance) likiwa na wataalamu na vifaa tiba
Timu...
Wakati nilipinga usajili wa Simba kwenye baadhi ya maeneo kwenye Uzi wangu mashabiki wa Simba walinitungana Sana nakuniita me ni mshabiki wa yanga eti kisa nimeenda tofauti na mitazamo yao utazani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.